Recent content by kolorama

  1. kolorama

    Mkwamo wa Bunge kikanuni bila kambi Rasmi ya Upinzani

    Huyu mwamba ameishia hewani na kesi yake ambayo inagusa maslahi ya uma
  2. kolorama

    Askofu Bagonza: Anayetugawa hawezi kutuunganisha

    Achana naye huyu mkuu.Huyu ni moja ya watu ambao wameamua kupoteza utu wao kisa njaa kama jina lake. Tena njaa yake inakula ubongo sasa na uzuri ccm wanamchora na unafiki wake.
  3. kolorama

    RC Makonda: Taifa la Tanzania liko mikononi mwa Kanisa

    Mkuu hii sio kashfa ila ni ukweli. Mungu huenda anadhihirisha walichokisema wakina maalim Mohamed Said
  4. kolorama

    Kwa jinsi nilivyoiona ACT Wazalendo, Ni nyota ing'aayo, inayochomoza kwa kasi

    Bila tume huru tutakuwa tunapoteza muda. Ni bora dunia ijue kuwa hatujashiriki uchaguzi kwakuwa hatuna tume guru kwani kwa mazingira tuliyonayo itakuwa tunajidanganya. Wakurugenzi wote makada na mwenyekiti wa tume kama Jecha je tutatoboaje?
  5. kolorama

    Kwa jinsi nilivyoiona ACT Wazalendo, Ni nyota ing'aayo, inayochomoza kwa kasi

    Mh. Kiongozi wetu wa chama naomba utuweke wazi kuhusu uchaguzi na namna tume yetu ilivyo. Wapiga kura wengi wamekata tamaa juu ya siasa zilivyo hasa hii awamu ya tano. Je mnatushawishi vipi sisi wana mageuzi tushiriki uchaguzi huu ambao refarii ni kama Jecha?
  6. kolorama

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Yupo mmoja ataleta mzigo next week.this time amechelewa sana kwa sababu ya corona
  7. kolorama

    Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

    Mkuu good to see your comment. Maana nilidhani wamekupoteza! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kolorama

    Rais wa Urusi awashukia viongozi wa Afrika

    Kakoseaje? Yule jamaa alukuwa zaidi ya kiongozi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kolorama

    Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    Zanzibar-ASP, Hatuwezi kufanya ujinga huo. Dini yetu ipo wazi kwenye magonjwa ya mlipuko na kuambukiza kama haya basi tufanyie ibada nyumbani. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kolorama

    Tume ya Uchaguzi tunaomba ufafanuzi kwenye hili

    Yusuph anabadilishaje wakati ndio mara ya kwanza kujiandikisha? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kolorama

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Huku malambamawili wanatuzunguka tu na mabomba wametandaza ili hatujui kinachoendelea. Ni bora watuambie lini haswa watatuletea maji kwani kununua lita 1000 kwa 15000 ni jambo gumu na uchumi wenyewe mgumu sana. Maji wanakuja kuuza ila utazania wanakuja kugawa bure. Sent using Jamii Forums...
  12. kolorama

    Yupi ni Kepteni Wako Bora wa Muda Wote?

    Kumbe ile ni true story
Back
Top Bottom