Ukweli Ni Kwamba Watanzania Wengi Sasa Wamejaa Ugonjwa wa Kupenda Nyimbo Zisizokuwa Na Maana, Na Hii Inachangia Na Timu Timu Hizi Ndio Zinaharibu Huu Muziki Wetu, Mnansema John Makini Lakini Nyimbo Za WCB Nazo Nyingi Zina Mashairi Yasiyoeleweka Ili Mradi Tu Vina Vifanane.
Lakini Watu Wanapenda...
Mkuu Inawezakana Unachokiongea Ni Sahihi, Lakini Tunaomba Utuambie Ni Chama Gani Cha Msingi Kilichopokea Hiyo Hela??
Mana Malipo Yote Ya Wakulima Hulipwa Kulingana Na Chama Cha Msingi Kilichopokea Korosho....!!
Taifa Letu Limejaa Watu Amabo Kazi Yao Hushangilia Tu Pindi Mkuu Wa Nchi Anapotoa Tamko Fulani..!!
Baadae Jambo Lile Likiwa Tofauti Tena Huwa Wanapongeza Kwa Njia Yofauti 😀😀
Habari Za Asubuhi Members.....
Naomba Niende Moja kwa Moja Katika Mada Ya Hapo Juu, Lakini Naomba Niseme Tu Mimi Sio Mkulima Wala Mfanya Biashara Wa Zao La Korosho Isipokuwa Ni Mwananchi Tu Ambaye Huwa Nafuatilia Kidogo Mambo Yahusiyo Nchi na Taifa Letu Kiujumla.
Kwa Sababu Hili Pia Ni Jambo La...
Nauliza Tu Hizi Picha Zote Ni Kutoka Hospital Alikofanyiwa Upasuaji???
Mbona Naona Nyingine Kasuka Na Nyingine Kavaa Wigi Na Room Pia Zikotofauti Au Mimi Sioni Vizuri???
Na Kulikuwa Na Umuhimu Gani Wa Kuweka Picha Ambazo Haziendani Na Content Ya Post Au Ndio Ule Usanii Bado Tunaendelea Nao...
Swali La Msingi Tu Vipi Unaamini Kuwa Tundu Lisu Alipigwa Risasi Au Hakupigwa Risasi???
Kama Alipigwa Ni Maeneo Gani Na Je Hayo Makovu Unayaona Kwenye Sehemu Hizo Alizopigwa???
Kama Hapana Nairobi Hospital Anafanya Nini Siku Zote Hizo???
Mimi Nina Ugonjwa Ambao Hata Waziri Pia Anao Yani Sijui Tofauti Ya Kushuka Na Kupanda....
So Anayeelewa Vizuri Anipe Somo Kidogo Hivi Kutoka 7.7% Mpaka 6.8% Hapo Pato La Taifa Limepanda Au Limeshuka Kwa 0.9%...??????
Huu Ndio Ujinga Unaozungumzwaga Yani Mtu Akitokea Anamkosoa Mh Rais Basi Lazima Atakuwa Muhamiaji Haramu Au Atakuwa Halipi Kodi...
Na Bado Kuambiwa Kuwa Kanisa Lake Liko Kwenye Hifadhi Ya Barabara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.