Kila jambo na wakati wake hili la katiba limeonyesha dalili ila wkt wake bado,ni vizuri huu mjadala mzito uendelee na bunge lihairishwe hadi tutakapopata muafaka wa kitaifa.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sio lazima upige kura wewe kwani ni wangapi ambao hawapo na niwangapi wapo lkn hawajafikia umri wa kupiga hiyo kura?tuache kwani historia itatoa hukumu na itajulikana ni nani alikuwa kikwazo.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wananchi wa wapi waliowachoka?ukweli haukai na uongo hata siku moja!muda wa kuipata katiba ya wananchi bado haujafika,ukifika hakuna mwenye uwezo wa kuzuia.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kwanini iwe lazima?mimi naona waliobaki waendelee itakuwa rahisi sana kumaliza kazi maana hapatakuwa na mabishano yoyote itakuwa ni ndioooooo!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Chuki zako kwa Wachaga hazitakusaidia chochote sana sana unazidi kuharibu!Walishatangulia hata utambike wapo juu kama muashoki!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mambo kama haya ndo yapo hadi bungeni kwenye suala la katiba hakuna mshindi ni maridhiano mkuu,hao wanaojiona wengi wamekwama ndo maana wanataka UKAWA warudi,katiba ni yetu sote wingi si hoja.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hapa umeongea jambo la maana sana ambalo linafanana na hili,kwenye vituo vya daladala kuna watu ambao kila basi likipakia abiria lazima wapewe sh mia au mia mbili!nilijaribu kumuuliza dereva ni kwanini unawapa hela?alinijibu usipompa anavunja kioo au kungoa chochote kwenye gari!nikamuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.