Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,252
- 10,248
Kwani wewe bado hujaolewa??
Wewe ni Chakla ya Lumumba ama Kigoma ?
Kwani wewe bado hujaolewa??
UKIWA CCM UNAZEEKA SURA WAKATI BADO BI KIJANA😀😱Ukiwa chadema akili inahamia miguuni
kwani wewe bado hujaolewa??
Wewe utakuwa na kansa ya ubongo si bure
..hivi zzk yupo?
Kwani wewe bado hujaolewa??
Wewe ni msukule. Kwa taarifa yako hao mnaowachagua nao wataanza kuondoka muda mfupi ujao. You have Bern warned!
chadema na act ni kama mhindi aliyefilisika
Uhusiano wa CCM na ACT ni huu hapa. Kwa kweli Mwigulu Nchemba ni kiboko. Aliwachomoa kutoka Chadema na bado anaendelea kuwachakaza tu. Zitto kwishnei!!
![]()
Hongera kamanda Mwakyembe
Wewe ni Chakla ya Lumumba ama Kigoma ?
UKIWA CCM UNAZEEKA SURA WAKATI BADO BI KIJANA😀😱
Tatizo ni akili zenu za kukodisijuii...tukuulize ww uliyeolewa
Anakusubiri weweYule Yona Patrick amechelewa kujiunga ACT mpaka leo hajawa rasmi .....
Tatizo ni akili zenu za kukodi
chadema kwisnei sasa mnashangilia majina kwa kuwa yanafanana na ya makada wa ccm.mkipata jisa magufuli naona mtakeshaNimepita maeneo ya Keko nikakutana na shamra za uchaguzi wa viongozi jimbo la Temeke kuanzia ngazi ya wilaya.Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya temeke ni Mr Mwakyembe.
Uchaguzi wa chama Temeke umekamilika na Yafuatayo ni matokeo:
BAVICHA
Mkiti - Erick Mwakikato
Katibu - Benedictor Semengwa
BAWACHA
Mkiti - Sina Manzi
Katibu - Mwasity Kitwana
WAZEE
Mkiti - Mzee Mkunguna
Katibu - Simon Mwaipaja
VIONGOZI WA JIMBO
Mkiti - Bernard Mwakyembe
Katibu - Jacob Mlay
Mwenezi - Juma Kitema
Mhazini - Kubra Abdallah
Mwakilishi mkutano mkuu
Engineer Msambaza
Wajumbe 4 Kamati Tendaji
Deo Tossi
Ulius Sagat
Yesse Msengi
Mzee Zinga ( Bwana Jela)
Kwa huu mseto wa Watanzania ndani ya haya matokeo...Bado utasikia watu wakisema bila haya wala aibu kwamba CHADEMA ni chama cha Wachaga mara cha Wakristo sijui Kikanda..! Ama kweli wajinga ndio watafunwao.