Updates: Mbowe, Mbatia, Lipumba wamesema Ukawa hawatarudi BMK!

Ccm na rais wameharibu mchakato wa katiba mpya, ndio hasa wa kulaumiwa

tuache kukalia majungu, raisi hayupo kwenye kamati yoyote kujadili vipengele vya rasimu ya katiba. Wajumbe ndio wanaojadil na kupiga kura.
 
jibu hoja yangu kuwa, kama rasimu inatakiwa ipitishwe kama ilivyowasilishwa, nini kazi ya BMK kwa kipindi cha siku 130 mara tshs 300,000 kwa kila mjumbe kwa wajumbe 601?

Ni nani kakwambia rasimu lazima ipitishwe kama ilivyo? Kinachogombewa ni central theme ya rasimu hamuwezi kuifuta. Ila mnaweza kuiboresha.
 
iboreshewe Ufipa siyo?
 
utakuwa punguwani wewe. akina Lipumba ndo walioleta rasimu kutoka lumumba? mbona mnajitoa fahamu mchana kweupe? huu utaahira sijui utakoma lini.

Hii ni taarifa waliyoitoa jioni hii kuwa hawatorudi BMK.

My Take;
Kama hawataki kurudi na hakuna namna ya kuendelea na bunge, basi tuendelee na Katiba iliyopo, lakini Watanzania tujue pia kuwa waliotunyima katiba mpya ni UKAWA pamoja na gharama zote zilizotumika, fedha hizo zingefanya mambo mengine ya maendeleo.

Pia hao viongozi wa3 kutunyima katiba kwa maslahi yao na familia zao na washirika wao ni laana kubwa kwao.

Sababu za msingi za kuendeleza mgomo wao zimekuwa "IMMAGINATION" yaani kuhofia upande mwingine.
They immagine CCM will do, kitu ambacho hakijafanyika. Haya bhana!
 
pesa ambazo hazikulipa bunge la katiba miaka iliyopita zilifanya kazi gani?mi sijasikia mwanaccm yeyote akishauri suala la kuamua aina ya muungano na idadi ya serikali lirudishwe kwa wananchi kwa kura ya maoni.je ccm hawana imani na wananchi?
 
hii ni taarifa waliyoitoa jioni hii kuwa hawatorudi bmk.

My take;
kama hawataki kurudi na hakuna namna ya kuendelea na bunge, basi tuendelee na katiba iliyopo, lakini watanzania tujue pia kuwa waliotunyima katiba mpya ni ukawa pamoja na gharama zote zilizotumika, fedha hizo zingefanya mambo mengine ya maendeleo.

Pia hao viongozi wa3 kutunyima katiba kwa maslahi yao na familia zao na washirika wao ni laana kubwa kwao.

Sababu za msingi za kuendeleza mgomo wao zimekuwa "immagination" yaani kuhofia upande mwingine.
They immagine ccm will do, kitu ambacho hakijafanyika. Haya bhana!

Tumbo investiment
 
pesa ambazo hazikulipa bunge la katiba miaka iliyopita zilifanya kazi gani?mi sijasikia mwanaccm yeyote akishauri suala la kuamua aina ya muungano na idadi ya serikali lirudishwe kwa wananchi kwa kura ya maoni.je ccm hawana imani na wananchi?

wakajadiliane hiyo s2 ikipitishwa si wananch wataikataa?
 
utakuwa punguwani wewe. akina Lipumba ndo walioleta rasimu kutoka lumumba? mbona mnajitoa fahamu mchana kweupe? huu utaahira sijui utakoma lini.

rasimu ya lumumba ni ipi? Nachosema, warudishe chupi kule ndani ya ukumbi wa bunge wakajadili katiba na siyo kukwamisha watanzania kupata katiba. Mimi nasubir kwa hamu kupiga kura ya kukubali katiba ama kukataa maana sijawah kupata hyo nafasi katika uhai wangu, yaani ni kitu kitakuja once kama kuzaliwa na kufa.
 
UKAWA hawako tayari kujadili rasimu ya ccm, hiyo waijadili wenyewe. Tatizo ccm hawakuwa na suala katiba katika mpango kazi wao wa mwaka 2010/2015, ilifakamia tu bila kufanya SWOC analysis.
 
Chizi siyo mpaka atembee bila nguo
 
Kwa sababu za kisiasa wajumbe wa baraza maalum wameshindwa kufikia mmufaka, mimi nashauri rais avunje baraza hilo na kisha wajumbe wa vyama vya kisiasa waondolewe isipokuwa wawe na mwakilishi mmoja ama wawili kila chama kusimamia haki na maswala ya vyama kama walivyochaguliwa wajumbe wengineo.
 
rasimu ya lumumba ni ipi? Nachosema, warudishe chupi kule ndani ya ukumbi wa bunge wakajadili katiba na siyo kukwamisha watanzania kupata katiba. Mimi nasubir kwa hamu kupiga kura ya kukubali katiba ama kukataa maana sijawah kupata hyo nafasi katika uhai wangu, yaani ni kitu kitakuja once kama kuzaliwa na kufa.

Kweli chizi siyo mpaka atembee bila nguo.
 
UKAWA hawako tayari kujadili rasimu ya ccm, hiyo waijadili wenyewe. Tatizo ccm hawakuwa na suala katiba katika mpango kazi wao wa mwaka 2010/2015, ilifakamia tu bila kufanya SWOC analysis.

hiyo ni hofu tu! Waende uwanjani wakagaragazwe kwa hoja makini waache bange zao za mchana!
 
rasimu ya lumumba ni ipi? Nachosema, warudishe chupi kule ndani ya ukumbi wa bunge wakajadili katiba na siyo kukwamisha watanzania kupata katiba. Mimi nasubir kwa hamu kupiga kura ya kukubali katiba ama kukataa maana sijawah kupata hyo nafasi katika uhai wangu, yaani ni kitu kitakuja once kama kuzaliwa na kufa.
Sio lazima upige kura wewe kwani ni wangapi ambao hawapo na niwangapi wapo lkn hawajafikia umri wa kupiga hiyo kura?tuache kwani historia itatoa hukumu na itajulikana ni nani alikuwa kikwazo.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kura muhimu
 
Back
Top Bottom