Wananchi wa wapi waliowachoka?ukweli haukai na uongo hata siku moja!muda wa kuipata katiba ya wananchi bado haujafika,ukifika hakuna mwenye uwezo wa kuzuia.Tusiandikie mate na wino upo, tusubiri tuone nani mshindi kati ya wachache(UKAWA) na wengi(wanaorudi bungeni). nachojua UKAWA wanaona aibu kurudi kwa sababu hata wananchi wameshawachoka, sasa watakwenda wapi?walisema wanakwenda kuwashtaki kwa wananchi wakaenda wakarudi mikono mitupu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums