Polisi Kimara chukueni hatua hali ni mbaya Kimara Stop Over

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,003
2,538
Tunaliaomba jeshi la.polisi kumchukulia hatau Baba Teri kimara stop over Saranga ambae amekuwa ni kinara wa uuzaji wa pombe haramu ya gongo na pombe nyingine za kienyeji.Nyumbani kwa baba Teri ndio pamekuwa kituo sugu cha vifaa vinavyoibiwa kwa wakazi wa eneo husika.Tunaliomba jeshi la polosi Taifa kuchukua hatua kali dhidi ya baba Teri kutokana na ukweli ya kwamba polisi kituo cha kimara wameshindwa kabisa kumchukulia hatua zinazostahili
 
Kwani huna namba za simu za afande Kova, ili uripoti moja kwa moja tukio hilo?
 
Mtu anauza gongo na walevi kibao mnashindwa nini kuwachukua tu "kipolisi jamii" mpaka kunakohusika???!!!!

Wakija majambazi si mtalia wake kwa waume!!!!!!
 
maadam umeiripot jf relax tayari ishu solved mkuu. Humu hakuna ndogo utapewa no za yyte unaemtaka na tayari wadau wameshaanza kulifanyia kazi
 
Tunaliaomba jeshi la.polisi kumchukulia hatau Baba Teri kimara stop over Saranga ambae amekuwa ni kinara wa uuzaji wa pombe haramu ya gongo na pombe nyingine za kienyeji.Nyumbani kwa baba Teri ndio pamekuwa kituo sugu cha vifaa vinavyoibiwa kwa wakazi wa eneo husika.Tunaliomba jeshi la polosi Taifa kuchukua hatua kali dhidi ya baba Teri kutokana na ukweli ya kwamba polisi kituo cha kimara wameshindwa kabisa kumchukulia hatua zinazostahili

Yumo humu,ameshaisoma.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Una biffu na jirani yako baba Terry wewe sio bure

ukisema ana bifu na huyo muuza ulabu unatukosea wote humu. Kafanya vema kuwajulisha walinda usalama na mali za raia yanayojiri pande hizo. Au ulitaka yatokee ya chang'aa kuua watu kama ya kibira-kenya ndo mpaaze sauti za lawama kw polisi? Hapana. Try to avoid, not be too judgemental tuwasaidie polisi kupata taarifa.
 
Tunaliaomba jeshi la.polisi kumchukulia hatau Baba Teri kimara stop over Saranga ambae amekuwa ni kinara wa uuzaji wa pombe haramu ya gongo na pombe nyingine za kienyeji.Nyumbani kwa baba Teri ndio pamekuwa kituo sugu cha vifaa vinavyoibiwa kwa wakazi wa eneo husika.Tunaliomba jeshi la polosi Taifa kuchukua hatua kali dhidi ya baba Teri kutokana na ukweli ya kwamba polisi kituo cha kimara wameshindwa kabisa kumchukulia hatua zinazostahili

Huja chukuliwa mke wako lakini?
 
Wewe ni mgeni wa nchi hii ya mafisadi? Hao polisi wa Kimara stop over hawamchukulii hatua Baba Teri kwa sababu wanafaidi kwenye hizo biashara.Na hata hao polisi wa makao makuu unaotaka waje Kimara stop over hawawezi kuja moja kwa moja bila kuripoti kwanza kwenye kituo cha polisi stop over.Na wakiripoti tu, 'wanabatizwa' na kuungana na dini ya stop over. Ukisikia watu wakisema hii nchi imeoza usibishe!
 
Back
Top Bottom