Recent content by KOKUSHEKYA MUTTESA

  1. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Ushauri wangu kwa kina dada mnaotafuta wapenzi humu

    Surething aisee ,eti watu wanakariri zile za analojia uliekutana nae barabarani anakuwaje perfect kuliko uliempata hapa ?.Destiny tuu !
  2. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Ondoka Kikwete, Ondoka Kikwete tupumue!

    mmmh nikupinge kidogo aiseee..kaeleza kile kitendo cha kwann jeshi la polisi liambiwe ketini pembeni wakati wafuasi wa kijani wameuliwa,sie kijani tutamaliza wenyewe ?????...na kijani ndio dola yenyewe nani anauthibitisho kuwa chadema ndo wameua ???...hakuna damu inaostahili kumwagika hata...
  3. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Mbinu na njia za kumtongoza mwanamke yeyote duniani atakupenda daima!

    heheheheeee nw ths z funny !!..kaa nayo skumbili ndio umgongee usikurupukee !!
  4. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Kuna umuhimu wa kufanya mapenzi kabla ya ndoa

    heheheheeee nw ths z funny !!
  5. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Show ya Wema kwenye EATV

    yule wema ni muigizaji lkn kazi yake na umaarufu pia ...wenzetu wazungu reality shows zao hawajieki three two one action ...cameras zipo..hawana muda wakupaka Yale ma mikosi ya uso na kujiuliza kama nyonyo inaonekana kias gani....tatizo wabongo kuiga mno.... kwamba tulipaswa kutizama vpnd...
  6. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Show ya Wema kwenye EATV

    nahsi unaelekea kumuisha kabisaaa afu anasahau tupo tz cio China kwake kule !!
  7. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Show ya Wema kwenye EATV

    tunao watoto na wazazi pia ...bahatimbaya remote ikazngua dk 1 c haibu zile...yule dada anajitoaga ufahamu yaan !!
  8. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Watangazaji wa TV mjifunze jinsi ya kuvaa

    ivo sjui wadada wetu tbc walishadanganywa kuwa suti kwa mwanamke ndo vazi only la kiofisi ???...madada wa citizen wanavaa vigaun zuri sana na belt simple wanajiachia..hawakaaaazi mimacho wanarilax...utangazaji raha ujue ???...sio michezo kwanza anaesoma hata jina la ile club alioitaja ndo...
  9. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Board ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu yakosa ufanisi na uwajibikaji.

    makber ukisema asiyeupdate shauriyake unakuwa umekosea saana sana maana ujui wat hapened !.kweli ni kosa kupuuzia mambo lakn kumwambia m2 aahirishe mwaka kisa updation ni UONEVU ,mitandao yaweza kuwa ilikua inazngua HESLB wanafahamu kabisa ,wanathink using stomarch not brain !
  10. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Msaada Wana JF. Naomba kujuzwa mikoa au wilaya zenye Waislam wengi hapa Tanzania bara.

    tunaishia kujadili maswala yasiyo na msingi 2 ,hyo academic analysis yako inatufanya tuhoji uelewa wako wamambo mkuu !
  11. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Picha, je mwamkumbuka huyu?

    Hapana hatakiwi kujifanya innocent kalegea utafkiria nanilii ,kesi hyo mpaka hapo ni kuzugia 2 siasa tupu ,mnahs kwann wanazuia aspigwe pcha ?.ufala m2pu kudidimiza harakati za wapambanaji ,thats our tz !!
  12. KOKUSHEKYA MUTTESA

    Kifo cha Daktari pekee wa upasuaji watoto wachanga Muhimbili na hatima ya maisha ya watoto wetu.

    dr sayi kufariki dunia akiwa ni daktari pekee aliejitolea kutake risk kama hlo ,sijambo lakuishia kulalamika na kujihurumia 2 sis watanzania wazaz ,bali ni suala ambalo kwa serekali makini na yenye uchungu kwa taifa lake ingelitazama kwa jicho la tatu !. Maana kama huyo daktar mwngne aliweza...
Back
Top Bottom