Msaada Wana JF. Naomba kujuzwa mikoa au wilaya zenye Waislam wengi hapa Tanzania bara.

Mijitu mingine sijui wanaletaga thread kama hii humu ya nini! Si ungeenda Bakwata ukapewe idadi!
 
Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya zenye Waislam wengi.

TAtizo si analysis unayotaka kufanya.Religion distribution unayotaka ni ya waislam tu?Hizo nyekundu zinauhusiano gani?
 
Unasoma chuo gani mkuu? Sijaelewa maana ya academic analysis, una maanisha utafiti au kitu kingine? Sample design yako inasemaje? Kwa nini analysis yako uilekeze kwa waislam tu? Una nia njema kweli? Title ya analysis yako inasema?
 
Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya zenye Waislam wengi.

mikoa hiyo ni Manchester united,Arsenal,Madrid,Barcelona,Ac Milan,Bayern Munich na Juventus. Upo hapo.
 
Hapa ndipo Serikali ilipokosea kusema kwamba haitakai kujua dini za watu.

Agenda ya waliotaka sensa ihusishe dini walitaka kuanzisha mambo mengine mengi sana kujiunga na OIC,baadae waanzishe mahakama za kadhi kwa gharama za serikali,na mengine mengi tu
 
Back
Top Bottom