Recent content by Kodemu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Cjawah kuona jianaume limbea km ww, hiv ww ulizaliwa cku taarabu inazinduliwa tanzania nn? na vip ukiwa ww na mkeo huko ndan vijembe mnavyopeana havitosh mpk uje ulete kwny media? hiv unadhan kuwa katibu mwenez wa mafisad ndio umepewa nchi? acha ujinga ww km elimu yako uliteleza kwny ganda la...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Komba, mkiwagusa wabunge wa CHADEMA bungeni kwa ngumi mtatutambua watanzania

    Naickitikia familia inayomuita baba. jitu lenywe ni mzigo, hakuna linachofanya zaid ya kula 2, linadai kuunga hoja huku linalalamika jimbo lake masikin, hiv huu c uchiz jaman!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    Wazichape 2,
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nape alinunua kadi za CHADEMA

    Ukwl huwa unauma, nyie ndio mjipange kwn hatutakubal ifikapo 2015 muwe wapinzan mfu, 2nataka nanyi 2wajenge ili pind CHADEMA itakapoingia ikulu nany muweze kutoa changamoto.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nape alinunua kadi za CHADEMA

    Mkuu hapo umenena!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nape alinunua kadi za CHADEMA

    ccm wameishiwa sera, tangu jana nilitangaza rasm kumdharau maguful, hana jipya. yy na nape hawana tofaut.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nape alinunua kadi za CHADEMA

    Ndugu wana jf, Napenda niwape taarifa ambazo nimezipata kwa rafik mkubwa sn na Nape. Siku ya mkutano wa CHADEMA pale Jangwani, Nape alikuwa ameandaa vijana na kuwalipa ili waendee kwny mkutano wa chadema wakachukuwe kad. Nape aliwaagiza vijana hao wahakikishe wanapata kad za chadema ili siku...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nape azindua mpya ya CCM "Vua gamba vaa uzalendo"

    Huwa nikikuona nackia kichefuchefu, nashindwa kuelewa elimu yako ni ya wap icyokusaidia na kukufanya uweze kuona mbal. ht ivyo ctakulaumu sn kwn kula yako inatokana na kubwabwaja kwako.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hata nikibaki peke yangu, CCM haifi - Nape

    Ni kwl haiwez kufa kwn ww nape utabaki na familia yako.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

    Kodemu. natangaza nia kugombea mwenyekit msaidiz
  11. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ana kazi gani?

    Ha ha ha! umenichekesha kwl!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sugu moto chini: CCM tunawambia haya ili mje muwe wapinzani makini

    Sugu alisema hv, yeye ni mkatolik saf asingependa kuona mawazir wananyongwa bt anapendekeza wafungwe kifungo cha maisha.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kesho asubuhi ukipokea simu ya JK kukuomba msaada huu utamsaidiaje?

    Nitampatia wawil 1. Ester buyala 2. Deo wa ludewa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ikitokea pinda kupigwa chini what next?

    Naona anayefaa kuwa wazir mkuu ni maguful pekee kwa ccm, wengne wez mtupu!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    Mkuu CUF wako 36.
Back
Top Bottom