Makamu wa Rais ana kazi gani?

kutokana na matukio kadhaa yaliyolikumba taifa mbele ya macho ya makamu WA Raisi na hakuna hatua hata chembe aliyochukua inastahili tufute cheo hicho.

.tukio la jairo mtalii wetu alikuwa bonden yeye alikuwepo, mtalii kaenda brazir yeye yupo hakuna alichofanya! Kuna haja gan kuwa na cheo hiki inamaana anasubili afe ndoo afanye kaz?

Kaz yake kufungua majengo , washa ,utumbo utumbo tu!
je tunastahili kuwa na cheo hiki?
 
Kwa kweli katika utawala wa awamu hii, cheo hiki hakijaonyesha tija wa umuhimu wake. Mimi napendekeza nadhani majukumu yake yapo kikatiba kabisa, lakin anashindwa kuyatekeleza kutokana na combination mbaya kati yao. Ilkiyobaki ni kwenda kuwe mawe ya msingi na kufungua makongamano tu! What a shame??
 
kutokana na matukio kadhaa yaliyolikumba taifa mbele ya macho ya makamu WA Raisi na hakuna hatua hata chembe aliyochukua inastahili tufute cheo hicho.

.tukio la jairo mtalii wetu alikuwa bonden yeye alikuwepo, mtalii kaenda brazir yeye yupo hakuna alichofanya! Kuna haja gan kuwa na cheo hiki inamaana anasubili afe ndoo afanye kaz?

Kaz yake kufungua majengo , washa ,utumbo utumbo tu!
je tunastahili kuwa na cheo hiki?

Sasa unataka hizi kazi zifanywe na nani? hasa ukichukulia kwasasa misiba imekuwa mingi inabidi rais ahudurie
 
Kwa hoja yako hii Umeipa sana Mashiko Hoja ya Mjadala juu ya Muungano wa Nchi hizi Mbili,

hakuna atakae kuwa na jibu sahihi akiulizwa ni nini kazi za Makamu wa RAIS atakuambia ni kufungua majengo mapya ya chekechea na vyoo vya kulipia tu
 
Kweli inasikitisha sana, hiki cheo kinaliongezea taifa gharama kubwa lakini hakina tija. Mi nilidhani M/Rais anawajibika pale ambapo Rais anakua hayupo ndani ya nchi, kumbe sivyo. Spika na W/mkuu wana sauti na mamlaka makubwa kuliko M/Rais, sidhani kama kuna umuhimu wa kuendelea na nafasi hii.

Napendekeza katiba mpya ifute hiyo nafasi, irudi ile ya zamani ambapo Rais wa serikali ya mapinduzi ya Z'bar anakua ndio makamu wa Rais. Nadhani hii itasaidia kupunguza gharama za kuiendesha ofisi ya M/Rais na pia itaupa nafuu (itadumisha) muungano ambapo upo mahututi.
 
kutokana na matukio kadhaa yaliyolikumba taifa mbele ya macho ya makamu WA Raisi na hakuna hatua hata chembe aliyochukua inastahili tufute cheo hicho.

.tukio la jairo mtalii wetu alikuwa bonden yeye alikuwepo, mtalii kaenda brazir yeye yupo hakuna alichofanya! Kuna haja gan kuwa na cheo hiki inamaana anasubili afe ndoo afanye kaz?

Kaz yake kufungua majengo , washa ,utumbo utumbo tu!
je tunastahili kuwa na cheo hiki?

Kile cheo kipo kwa ajili ya kuwapoza wenzetu wa upande wa pili, hakina maana yoyote. mkuu jiandae kutoa pendekezo lako hili wakati tume ya katiba itakapo kufikia!
 
asante kwa Hilo na nitaongea kweli kweli! Wehu kweli kweli hawa!
 
Inachekesha ila ndo ukweli wenyewe, pia huyu jamaa hana mvuto wa kisiasa
Muzee ya Mikasi!!!!

scicors.jpg
 
Hapa Mh Dr Bilal,,makamu wa Rais wa JMT akifungua Semminar ya Masheikh mjini Dodoma.
 
Attachments

  • 01[2].jpg
    01[2].jpg
    170.3 KB · Views: 71
  • 02[2].jpg
    02[2].jpg
    147.5 KB · Views: 63
  • 04[1].jpg
    04[1].jpg
    156.6 KB · Views: 62
I salute you guys!
Ningependa kujua,hivi kazi halisi ya makamu wa raisi katika jamuhuri yetu ya tz ni ipi?
Ni kweli kwamba raisi akiwa nje ya nchi au out of office yeye ndo anakaimu kiti?
>Je makamu wa raisi naye anakaa ikulu/anaofisi pale ikulu?
Baada ya kufuatilia sana nimeona akiwa anakata utepe tu katika miradi mbalimbali.
 
Kasome katiba ya nchi ndugu.Hiyo ni mada ya uraia kidato cha pili!!
 
Back
Top Bottom