Hata nikibaki peke yangu, CCM haifi - Nape

....

Basi atakuwa mgonjwa!!!

CCM ikifa maana yake imekufa!!

Atakuwa anafanya nini kwenye mzoga wa chama?

........Nape bwana
 
hivi huyu NAPE ana akili sawa sawa huyu?? yaani mkutano wa chadema umemuuma kweli....hahaaaa mbona nyie mnakodishaga magari kubeba watu kuja kwenye mikutano...mnalo hilo mwaka huu....yaani 2015 hamtoki hata muibe kura vipi..by the way vipi utagombea ubunge ubungo au??
 
Maneno hayo yamesemwa na Nape akiwa huko Bukoba. Sijui alikuwa anafurahisha nafsi au alikuwa anataka kuonyesha kuwa kwa cheo alichonacho hawezi tena kwenda South kuchukua rasimu ya Katiba for CC...!

Source: Taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu ITV

Huyu ni bwana mdogo, madaraka aliyonayo yanamzidi kimo! nilishasema huko nyuma kuwa jamani huyu ni bwana mdogo!! Mwache aimalize CCM. Tunamkumbusha kuwa kidole kimoja hakivunji chawa.!!!! Anajisahau, sana, alikemea mafisadi katika hotuba yake, akatetea uzalendo, anasahau kuwa alikuwa kwa fisadi alicheza gofu!!!! Shenzi zeke!!!!
 
Falsafa ndogo tu, nape yuko sahihi kabisa kwamba CCM haifi ila itakuwa chama cha upinzini tena sio kikuu, existence of CCM should be there but should not be a ruling party. Simple like that.
 
Hizi tambo za wana CDM ni burudani tosha zinanikumbusha mwaka 2010 before general election walivyokua wakijitapa watu humu na mambo yakaenda ndivo sivyo.
Ila saa hii tena naona ushindi wa arumeru umewambisha vichwa CDM and they are now walking a littlebit taller with chest thrust forward.
Ccm need just to keep cool and do their job right in order to beat CDM in 2015.
 
Naombeni kumtetea kijana kwa kuyasema hayo kwa vile alizaliwa CCM, akakulia CCM, na atafia CCM!. Iwe ni CCM itamfia au yeye ataifia ila ni CCM damu, hata ukimchanja na kiwembe, damu itakayotoka siyo ya rangi nyekundu, bali ni ya rangi ya Kijani na Manjano!.

Kijana alikuwa Chipukizi tangu akiwa miaka 4, baadae akajiunga UV-CCM, akawa kiongozi na mjumbe wa baraza kuu la UV- CCM na mjumbe wa NEC na sasa ni mjumbe wa CC, Mjumbe wa NEC na Katibu Mwenezi wa CCM. Japo kichama M/Kiti ndio most powerful akifuatiwa na makamo na KM, then CC na NEC, kiukweli the real powers within CC lies with JK then huyu kijana!. Wengi kule ni spent force wameisha jichokea wanasubiri tuu kuzama na dubwana lao!.

Enzi zake za UV-CCM, wakati EL akiwa ni Mlezi wa UV-CCM. EL akampatia lile jengo la UV-CCM pale mjini, rafiki yake yule mdosi kwa bure, kijana akastukia dili akapinga na kuita huo ni ufisadi, UV- CCM wakamshukia na kumfukuza, na kuitaka NEC kumvua uanachama, JK akamnusuru!. Yeye na EL wakawa paka na panya!.

Hatimaye baadae sio tena akafukuzwa CCM bali akaingizwa rasmi CC na EL ndio akatimuliwa CC!. Ndani ya CC akaamua ili kummaliza EL, akabuni mkakati wa kujivua gamba ili EL, RA na Mzee wa Vijisenti wajing'atue wenyewe ndani ya siku 90 vinginevyo, watang'atuliwa!.

Akazunguka nchi nzima akitangaza hiyo kujivua gamba bila kujua kumbe alikuwa akipiga vuvuzela tuu!.

EL alitoa msimamo kuwa yeye na JK hawakukutana barabarani!. Siku 90 zilipita bila bila japo RA alijivua gamba kwa hasira.

Story za vua gamba zilianza kubadilika hatimaye sasa imebaki ni hadithi tuu ya Sungura na fisi!.

Huu ni mwaka wa uchaguzi wa CCM. The most powerful man wa CCM ni RA ambaye sasa amejeruhiwa na yuko nje ya ulingo!. Ukimjua adui yako na kumuona, unaweza kupambana nae na kujua jinsi ya kujihami!.

Simba aliyejeruhiwa ni hatari zaidi kuliko simba mzima!. Na huko msituni kwa vile hujui ata strike kutokea upande gani, hivyo huwezi kujua ujihami vipi, salama yako ni kuzungusha zungusha kichwa ili kujaribu kumuwahi toka kwa mbali!, hivyo sasa ndio maisha ya huyu kijana wetu ndani ya CCM na fainali ni mwaka huu!.

Kufuatia nguvu za maadui zake, kijana mwisho wake ni either kupigwa chini jumla kwenye uchaguzi huu na kubakia ni mwanachama wa kawaida kusubiria kumvaa JJ. Mnyika jimbo la Ubungo 2015 ambapo atapata kipigo cha mbwa mwizi na kuangukia pua, hivyo kusubiria kufia tuu CCM kama wenzake wengi wanaosubiria!.

Ila akisurvive uchaguzi wa ndani wa CCM, atakuwa ameprove kuwa yeye ni mwamba, na juu ya mwamba huo, CCM itajenga ngome yake!.

Baada ya uchaguzi wa CCM, kijana akisurvive, tafadhalini sana, huyu atakuwa sio mtu wa kubezwa tena kwa sababu 2015 ataingia bungeni japo CCM inauwezekano mkubwa wa kupigwa chini na 2025 ataibuka kinara wa CCM mpya iliyotoka likizo ya miaka 10 kuupisha upinzani!. Huyu jamaa itakuwa ni habari nyingine!.

Ile dhana ya " Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni", inaweza ku apply kwa kijana huyu!.
 
Jamani, ninaomba muelewe kwa makini kuwa, "Kinachomfanya Nape Nnauye Ale, Avae, Alale, ni maneno ya mdomo wake na mara nyingi maneno ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini ila akishatumwa aseme hivyo, hana budi ya kutekeleza".

Muoneeni huruma kijana mwenzetu! Siku moja ataokoka na atajivua Gamba tu....!

Lakini kumbukeni ya kwamba, hata KANU ilipokaribia kunyang'anywa madaraka nchini Kenya, "Viongozi wao, Mpaka Dakika ya Mwisho walisema, KANU hakiwezi kuangushwa na vyama kama, PNU na Vingine". Je KANU leo hii kipo madarakani?

Bwana Muhammad Saeed al-Sahhaf, Aliyekuwa Waziri wa Habari na Msemaji wa Serikali ya Aliyekuwa Raisi wa Irak, Marehemu Saddam Hussein walipovamia na majeshi ya Kimarekani, Uingereza, na NATO, hata nusu saa kabla hajakamatwa,alipiga propaganda kuwa, "...Karibu Jeshi la Irak linashinda vita ile..." Je maneno yake yalikuwa ya kweli? Walipigwa hawajapigwa?

Jamani mfa maji, Haaachi.....!

Kaka endelea kula mshahara, endeleza propaganda wasikufukuze kazi...!

kwani kinachokulisha wewe ni nini?huna maana kabisa wewe.you look like a woman asiye na msimamo.nape is a strong man!he always faces th challenges and nt run after them like u did.na huko nadhani utakimbia tu.f.a.l.a
 
Naombeni kumtetea kijana kwa kuyasema hayo kwa vile alizaliwa CCM, akakulia CCM, na atafia CCM!. Iwe ni CCM itamfia au yeye ataifia ila ni CCM damu, hata ukimchanja na kiwembe, damu itakayotoka siyo ya rangi nyekundu, bali ni ya rangi ya Kijani na Manjano!.

Kijana alikuwa Chipukizi tangu akiwa miaka 4, baadae akajiunga UV-CCM, akawa kiongozi na mjumbe wa baraza kuu la UV- CCM na mjumbe wa NEC na sasa ni mjumbe wa CC, Mjumbe wa NEC na Katibu Mwenezi wa CCM. Japo kichama M/Kiti ndio most powerful akifuatiwa na makamo na KM, then CC na NEC, kiukweli the real powers within CC lies with JK then huyu kijana!. Wengi kule ni spent force wameisha jichokea wanasubiri tuu kuzama na dubwana lao!.

Enzi zake za UV-CCM, wakati EL akiwa ni Mlezi wa UV-CCM. EL akampatia lile jengo la UV-CCM pale mjini, rafiki yake yule mdosi kwa bure, kijana akastukia dili akapinga na kuita huo ni ufisadi, UV- CCM wakamshukia na kumfukuza, na kuitaka NEC kumvua uanachama, JK akamnusuru!. Yeye na EL wakawa paka na panya!.

Hatimaye baadae sio tena akafukuzwa CCM bali akaingizwa rasmi CC na EL ndio akatimuliwa CC!. Ndani ya CC akaamua ili kummaliza EL, akabuni mkakati wa kujivua gamba ili EL, RA na Mzee wa Vijisenti wajing'atue wenyewe ndani ya siku 90 vinginevyo, watang'atuliwa!.

Akazunguka nchi nzima akitangaza hiyo kujivua gamba bila kujua kumbe alikuwa akipiga vuvuzela tuu!.

EL alitoa msimamo kuwa yeye na JK hawakukutana barabarani!. Siku 90 zilipita bila bila japo RA alijivua gamba kwa hasira.

Story za vua gamba zilianza kubadilika hatimaye sasa imebaki ni hadithi tuu ya Sungura na fisi!.

Huu ni mwaka wa uchaguzi wa CCM. The most powerful man wa CCM ni RA ambaye sasa amejeruhiwa na yuko nje ya ulingo!. Ukimjua adui yako na kumuona, unaweza kupambana nae na kujua jinsi ya kujihami!.

Simba aliyejeruhiwa ni hatari zaidi kuliko simba mzima!. Na huko msituni kwa vile hujui ata strike kutokea upande gani, hivyo huwezi kujua ujihami vipi, salama yako ni kuzungusha zungusha kichwa ili kujaribu kumuwahi toka kwa mbali!, hivyo sasa ndio maisha ya huyu kijana wetu ndani ya CCM na fainali ni mwaka huu!.

Kufuatia nguvu za maadui zake, kijana mwisho wake ni either kupigwa chini jumla kwenye uchaguzi huu na kubakia ni mwanachama wa kawaida kusubiria kumvaa JJ. Mnyika jimbo la Ubungo 2015 ambapo atapata kipigo cha mbwa mwizi na kuangukia pua, hivyo kusubiria kufia tuu CCM kama wenzake wengi wanaosubiria!.

Ila akisurvive uchaguzi wa ndani wa CCM, atakuwa ameprove kuwa yeye ni mwamba, na juu ya mwamba huo, CCM itajenga ngome yake!.

Baada ya uchaguzi wa CCM, kijana akisurvive, tafadhalini sana, huyu atakuwa sio mtu wa kubezwa tena kwa sababu 2015 ataingia bungeni japo CCM inauwezekano mkubwa wa kupigwa chini na 2025 ataibuka kinara wa CCM mpya iliyotoka likizo ya miaka 10 kuupisha upinzani!. Huyu jamaa itakuwa ni habari nyingine!.

Ile dhana ya " Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni", inaweza ku apply kwa kijana huyu!.

na wewe unachekesha sana.ulitaka angeanzia vipi?au angehamia kama magwanda wanavyofanya!
 
Angalia vocha ulopewa na Dr kujadili positive mkutano wenu wa kisanii jangwani isijeisha ikaadhibiwa bure, angalia wote mnajadili Nape badala ya kujadili kwanini mmetumia 500mill na mkutano wenyewe ndo ule, wale vijana mlowanunua kuja na nguo za CCM wamekimbilia wapi?

Umeliwa dogo! Huku kwetu hatupeani rushwa kama kwenu CCM.. Pole weeeeeee!!
 
Nepi atakuwa na mtindio wa ubongo. Anataka ccm ife mara ngapi? Kwani hapo ilipo imeshakufa, au anataka kuleta habari za 'kufa na kufufuka'...
 
we endelea kujidangaja, mkubwa watu hawawapedi maisha magumu,kwa hadhi yako nilitegemea kama kijana uje na mipango na ushauri mzuri kwa watawala wenzio,tatizo maisha ni magumu,eti vua gwanda vaa uzalendo,uzalendo utakujaje kama mchele unauzwa elf tatu,mafuta ya taa usiseme,time wil tel tunakuombea uzima uione 2015,halafu si kila anayekosoa ni chadema ,haya yote sababu ya maisha ni magumuu.
 
Anabwabwaja huyu ameshakuwa kama robot hajui hata asemalo.

Nyie mnaumizwa vichwa na mtu anayefikiri kwa kutumia tumbo?. Kwanza mkimjadili mnamuongezea umaarufu, anachostahili Nepi kwa sasa ni kupuuzwa tu!!!
 
Back
Top Bottom