Recent content by kluger

  1. kluger

    Rais Samia kwenye bango kubwa Jengo jipya la CRDB

    Picha inatusaidia nini?? sisi tunataka the best interest rates. Akili zetu wabongo bhana. Picha imewekwa jengo refu duniani Uzi. Picha kubwa ya rais Uzi. Mambo ya msingi no discussion. SMH!!
  2. kluger

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwenye kutoa hela ndiyo utamtambua vizuri, scarm hao!
  3. kluger

    Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

    Watanzania sijui tulilogwa na nani, kubabaikia wageni, yaani mtu akiwa hajui kiswahili tu, baasi wanamuona MUNGU mtu, tuache huu ujinga jamani!
  4. kluger

    Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

    Mimi naulizia kama naweza kuunganisha internet toka moja kwa moja makampuni ya nje
  5. kluger

    Naacha Beers, wataalamu wa Ku-MIX cocktails aka Wazee wa MAABARA msaada

    Habari wanasherehe wenzangu, Kila siku ni sherehe na kila siku ni sikukuu, maisha mafupi na huku kwenye kugida ndiyo starehe zetu. Wakuu baada ya miaka mingi ya kugida Beere! Naona sasa ni wakati wa kubadili chaka! Bia nimekuwa ziwezi kunywa chini ya 7, ili gari liwake! Sasa hii imekuwa...
  6. kluger

    Mrejesho baada ya kuacha pombe miezi 6 sasa

    Tukio gani lilikuaibisha huko kwenye ugimbi
  7. kluger

    Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

    Nakubali kutokukubaliana tuishie hapa, wewe amini hivyo nami naamini namna hii.
  8. kluger

    Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

    Umeongea ukweli kabisa, mimi nina ndugu zangu wao ni dini ya upande wa pili, aisee yaani wanatubagua sana, wapo tayari kushirikiana na watu baki ambao wanaabudu pamoja, na sisi tumepotezewa kabisa, smh!!
  9. kluger

    Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Wakuu, mimi nataka kufahamu nikiagiza simu ya iphone 11, toka USA ikifika hapa bongo kwa EMS, ni kodi au malipo kiasi gani nitalipia kuitoa simu hiyo? Wenye uzoefu pls?
  10. kluger

    Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

    Waafrica ni watu wenye uwezo mkubwa na wamejaliwa mali nyingi na ustahimilifu wa mazingira magumu. Sifa hizo zote kwa karne nyingi zimekuwa ni hofu kubwa dhidi ya wazungu. Wanajua tukiweza kujitambua na kuendeleza raslmali zetu watakuwa na wakati mgumu sana, na pengine tunaweza kuwaangamiza na...
  11. kluger

    Tufahamishane Namna ya kuingiza nchini bidhaa za biashara

    Mkuu Simu, sijajua gharama za ku clear simu moja ni sh ngapi?
  12. kluger

    Tufahamishane Namna ya kuingiza nchini bidhaa za biashara

    Salaam wadau, Penye miti mingi, hapakosi wajenzi. Leo naomba kufahamu au kupata elimu toka kwenu wadau, jinsi ya kufanya ninapotaka kuagiza mzigo/bidhaa toka nje ya nchi kwa nia ya kujakufanya biashara hapa nchini. Nimeona watu wengi wakifanya biashara ya vitu mbalimbali toka China...
  13. kluger

    Watanzania hatustahili shida hizi, ni bahati mbaya sana

    Wasalaam, Leo nimetafakari mambo yanayoendelea hapa nchini kwangu, Moyo umeumia sana. Hasa ninapoona jambo lililokuwa likisaidia wananchi na kurahisisha maisha, linavurugwa na kuongezwa ugumu na serikali yetu ambayo ilitakiwa kulinda mazingira bora ya wananchi wake. Si kingine, TOZO YA...
  14. kluger

    Mahusiano katika family - Ugeni wa Ndugu

    Ha ha ha ha [emoji23]aisee
Back
Top Bottom