Mrejesho baada ya kuacha pombe miezi 6 sasa

Mrejesho baada ya kuacha pombe miezi 6 sasa

Niliacha pombe kwa kua kila nikinywa pombe nikiamka naamka na kesi,kwa ufupi nilikua bapata hasara sana.Kwa sasa nimekua mnene sana,mda wowote napasuka maskini Mimi.Nikinywa pombe lawama,nimeacha lawama.Dunia tambara bovu nimekubali
Aisee
 
Kwa hiyo unataka kutushauri sisi wanywa pombe wenzako kuwa tuache kunywa ili tunenepe km wewe??.
 
Na mama mzazi amelaani na kusema nikirudia pombe nitakufa.Na siwezi tena kurudi huko,nakula kawaida sana,kipato changu cha kawaida ila naridhika sana na kidogo hicho.Sasa mwili umekua mzito sana,nikisema nijibane kula starehe yangu itajua ipi na pombe nimeacha
Angalia usije shindwa kuila mbususu inavyotakiwa ukasaidiwa na vijana hasa bodaboda..!
 
Tukio gani lilikuaibisha huko kwenye ugimbi
 
Hii zaga yako ime expose accouny number yako, ifute mkuu.

By the way 420k ndo hela unayosema unayo?
Akaunti namba zaidi ya kujua jina lake utaifanya nini?

Labda angekua ameweka na CVV
 
Kwa kuona akaunti namba tu?

Hivi risiti zinazotoka katika ATM hazina akaunti namba?
Yeah, nigeria kuna kipindi walizifungia ATM mkuu kwasababu ya huu wizi.

Baadhi ya Benki huwa wanaficha namba za katikati kwa kuweka ***** then wanamalizia mwisho.
 
Back
Top Bottom