Hoja imeungwa mkono( wanaoafiki waseme NDIO)
police kosemeshwa na kodi yetu na tena analipwakutokana na hiyohiyo kodi yetu kisha anawapiga watu wetu! Nakubali Mwema si mwema tena na intelijensia yake! (Nguvu iliyotumika kuzima maandamano kwa nini isitumike kuhakikisha usalama kwenye...
POLISI wa TZ hawataki kuukubali wakati maana wajiona kama vile ni taasisi ndani ya sisiemu. Kwani ni sababu zipi hizo za kiintelijensia kama sio kuvuruga mambo? yote tisa lakini tutafika tu.
Sasa Bwana Chenge tunajua Mahakama imekusaidia sana kwa kuwa ilikutaka ulipe laki saba au uende ndani miaka mitatu nawe ukalipa laki saba kama vile mtu anavyolipa nauli ya Daladala.
Lakini katika hukumu hiyo Sijui nani anapaswa kukata Rufaa. kwa kuwa sisi si wanasheria tunaiona hukumu ni...
Nilimsikiliza kwa makini sana Mh.John Tendwa Msajili wa vyama vya siasa alipokuwa anatoa ufafanuzi kuhusu kuwapa au kutokuwapa usajili wa kudumu hawa ndugu zetu wa CCJ.
Tendwa anadai hana pesa ya kuhakiki majina ya wanachama wa CCJ nchi nzima. Swali letu hapa ni je Kama huna pesa hilo ni...
Angalia hata kucheza dance kiongozi wetu anacheza na mademu wengine wa kwake hawezi hata kutembea naye maana hana mvuto. :heh:
Mvuto anao jamaa anao wengi sasa atacheza na yupi ndio maana hachezi nao wote ili kutunza heshima kwa wale wemgine. vinginevyo litaibuka TIMBWILITIMBWILI la Asha...
Tumeshamuona sana huyu jamaa sehemu mbalimbali zikitolewa picha zake sasa tuwekeeni za Mbayuwayu wetu JK tumuone nae na mama Salma ( kama yuko Peke yake lakini ) wakitembea viwanja vya Ikulu magogoni. Au hawana muda?
Kukomaa kwa Kikwete kutachukua Muda kama unamtibua mfuga Mbwa unategemea nini?
Yaani kweli Kikwete yuko tayali akose kura za wafanyakazi? Haya bwana, yeye asije akafikiri ni watu laki tatu tu wana ndugu zao hao watafika milioni tatu! shauri yake.
Katika Dharau alizowahi kuzifanya mwaka...
Kama huko uliko baba yetu wa Taifa unasoma mawazo haya ya watoto wako uliotuacha huku tukiwa na amani na utulivu uliotukuka, basi naomba usome hapa kwa umakini mkubwa. Yule kijana ambae ulituambia bado mdogo na sasa amekuwa na akapanga kwenye lile jumba jeupe pale magogoni anawanyanyasa...
Kwani nani aliyewaambia JK atapita tena wakati kawatibua wafanyakazi katika mkutano na aliowaata wazee wa Dar wakati wazee waliokuwepo pale hawakuzidi saba? wengine wote walikuwa vijana wa sisiemu toka Bagamoyo(yaani wakwere wenzie ndio maana kila dk kikwere!kikwere!) aliotoa vijembe vya kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.