Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950 in Msonga, Bagamoyo District, Tanganyika) has served as the foreign minister of Tanzania since 1995 when the government of President Benjamin Mkapa took office. Before that, he served as minister for finance and energy. He was officially nominated to be the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party's presidential candidate in the upcoming general elections, which are to be held on 30 October 2005.

~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~

Kikwete received his primary education at Msonga Primary School between 1958 and 1961; his middle school education at Lugoba School from 1962 up to 1965. He then moved from Lugoba School to to Kibaha Secondary School for 'O'Level Education between 1966 to 1969. The following year he joined Tanga Secondary School for advanced level education. Kikwete attended the University of Dar es Salaam from 1972-1978 where he earned a degree in Economics. He later (1983) attended a one-year Company Commender Course in military training.

~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~

Note that the village in which HON. Kikwete was born is called Msoga and not Msonga as written above. The village is 10 kilometres away from Chalinze, along the Tanga/Arusha road. He is recorded the only member of constituency in Bagamoyo district who represented a constituency for three terms. He began as an MP for Bagmoyo and later for Chalinze when the district was divided into two constituencies in 1995.

Tuangalie Cv inawezekana tunamuonea bure

Unaona matatizo yetu wabongo sasa? Eti kazi alizofanya mtu ndiyo zinatumika kama kigezo cha ukomavu wake!

Tuambie katika kazi zote alizofanya katuletea nini significant, hususan kabla hajawa rais, alifanya kitu gani kilichompa sifa ya kuwa rais?

Kuwa na vyeo si sifa, unaweza kupewa vyeo ukawa unasafiri kwenda kujirusha nje (kama alivyokuwa anafanya KIkwete, complete with kutafutiwa mabibi na huyu Rashid aliyekuwa London ambaye sasa amekuja kumpa ukuu wa usalama kama hewala kwa kuwa kuwadi wake wa muda mrefu), unafungua warsha, ukienda ofisini unawapa wenzako kazi wakufanyie (kama alivyokuwa anafanya KIkwete) na upuuzi mwingine kama huo.

Tanzania hatuna meritocracy, KIkwete alifanya nini ku deserve urais?
 
Safi kabisa Companero now you are talking, kwa hiyo JK atakapokuja kukomaa ata-realize tayari ameshauza nchi.

Hahaha,

By the time anakomaa atakuwa kashastaafu urais. Labda baada ya kustaafu atahitaji kwenda Harvard kama Sumaye, halafu aseme kama Sumaye "nilikuwa sijayajua matatizo ya Tanzania mpaka nilivyohitimu Harvard"

Geez,

This is not an "on the job learning" type of job.
 
Na nyie bana bado mna ya Nyerere tuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!
Hakuna mwengine aliyesema, kasema Nyerere tu, mnaboa kichizi...!!!
 
Mwalimu Nyerere naye hapo alianguka mtihani kwani Mkulu wetu hata angempa miaka 80 kuanzia hapo bado miaka hiyo ingefika na angekuwa hajakomaa vilevile, yaelekea Mwalimu alifanya analysis ya age pekee na si ya ukomavu wa kimbayuwayu wa kuchanganya na zake

Naamini Mwalimu alikuwa anatumia lugha ya kidiplomasia tu. Angelikuwa hai hadi 2005 leo tungelikuwa na rais mwingine na si JK.
 
Naamini Mwalimu alikuwa anatumia lugha ya kidiplomasia tu. Angelikuwa hai hadi 2005 leo tungelikuwa na rais mwingine na si JK.

Umesema kweli kabisa. Mwalimu alitumia lugha ya heshima tu kusema jamaa hajakomaa. Kwa kweli alichotaka kutuambia ni kwamba jamaa hawezi kazi hiyo. Pili, kusema mtu hajakomaa hakumaanishi kwamba ni LAZIMA atakomaa siku za usoni. Lugha hiyo inaacha nafasi wazi kwamba jamaa anaweza akaja kukomaa au asikomae kabisa, yaani akabaki alivyo au akashuka chini zaidi (mchakato hasi).
 
Umesema kweli kabisa. Mwalimu alitumia lugha ya heshima tu kusema jamaa hajakomaa. Kwa kweli alichotaka kutuambia ni kwamba jamaa hawezi kazi hiyo. Pili, kusema mtu hajakomaa hakumaanishi kwamba ni LAZIMA atakomaa siku za usoni. Lugha hiyo inaacha nafasi wazi kwamba jamaa anaweza akaja kukomaa au asikomae kabisa, yaani akabaki alivyo au
akashuka chini zaidi (mchakato hasi)
.[/
QUOTE]
kwani kukomaa ninini ? jibu lipo kwenye hiyo quotes, unaweza kukomaa katika mkomao hasi, mkomao adui, mkomao nyonga, mkomao fyatu, mkomao usio na adili, mkomao kwazo.
Mkuu anakomaa katika mtazamo wa kurudi chini, mkomao usio na tija hata kidogo.
Mkuu tunamtilia shaka uelewa na ufahamu wake katika nyanja mbalimbali, ndo maana naungana na mdau mmoja alieandika kuwa , Mkwere hana uadilifu hata kustahili kuwa katibu tarafa , labda kulea familia zake!
 
Kukomaa ni mchakato
You mean JK is now doing 'on job training', huwezi fanyia majaribio cheo cha juu kama urais you have to be tested before acquiring such a post, sasa unaposema kukomaa ni mchakato wakati tayari yeye ni rais je mchakato ukishindikana au ukiwa hasi au aki feli hayo madhara atakayosababisha nani atayatibu au inabidi tuanze mchakato kwa mtu mwingine, nafikiri simply hiyo nafasi amepwaya ni vigumu kwake na wasidizi wake kukubali lakini historia itakuja mhukumu.
 
Mkuu tusubiri tu utaona mwenyewe
 
Mchakato unaingia ng'we ya mwisho: 2010-1015. Katika kipindi hiko Tanzania itageuka kuwa Singapore ya Afrika. Bagamoyo itakuwa Dubai ya Tanzania. Na Kigamboni itakuwa Long Island ya Dar es Salaam.
 
Kukomaa kwa Kikwete kutachukua Muda kama unamtibua mfuga Mbwa unategemea nini?

Yaani kweli Kikwete yuko tayali akose kura za wafanyakazi? Haya bwana, yeye asije akafikiri ni watu laki tatu tu wana ndugu zao hao watafika milioni tatu! shauri yake.

Katika Dharau alizowahi kuzifanya mwaka huu, tarehe 03/05/2010 alionyesha dharau ya hali ya juu kabisa katika maisha ya Binadamu wenzie.

Wafanyakazi Shime asipate kura tuwaambie na watoto wetu na wazazi wetu na rafiki zetu na jamaa zetu TUMFUNDISHE USTAARABU. Hawezi kufananisha wafanyakazi na Mbayuwayu.
 
Ustaarabu asubiri october 2010
 
WanaJF

Napenda kuwarudisha nyuma enzi za mwalimu alipomkataa J kikwete akisema KIJANA HAJAKOMAA HAWEZI KUONGOZA NCHI, waliokuwepo kipindi kile walimpuuza wakamuona Nyerere hafai lakini sasa madhara yake ndo tunaanza kuyaona.

Hapa sisemi kwa matakwa binafsi wala ya kisiasa nasema ukweli mana Mheshimiwa ameonesha upungufu mkubwa sana.

Je wanaJF Huyu mheshimiwa akiendelea kuongoza nchi matokeo yake yatakuwa nini????

Kakomaa uso tu
 
Kama sikosei huyu alikuwa mtoto wa chifu huko ukwereni, ni dhahiri kipindi hicho walikuwa wanabebwa bebwa sana hawa ili kutimiza matakwa na siasa za kikoloni; Tukiwa wakweli sidhani kama tutakuwa tunamuonea mheshimiwa huyu; inawezekana hapo UDSM pia alitoka na PASS, hali ambayo twaiona katika uwezo wake wa kujenga hoja na kujieleza.

Habari za elimu yake zinafichwa fichwa sana sijui kwa nini ... walau angalau Nyerere, Mwinyi na Mkapa tulikuwa tunasikia credentials zao?? Mheshimiwa huyu hapendi kuhojiwa kwake ni adimu labda tu kwa maswali yaliyotayarishwa kabla au kwa waandishi wake walionunuliwa kabla na timu yake.

Mtakumbuka mwaka 2005 alipotimua mbio kwenye mdahalo baada ya kuchomoa dakika za mwisho ... tungekuwa taifa makini ma-rais wetu ingelibidi wawe wanafanyiwa mdahalo tusikilize pumba za vihiyo kama huyu mheshimiwa, lkn ni kwa tanzania tu hilo halitowezekana!

Halafu haoni hata aibu kuitwa DOKTA, na waandishi wengine wa habari makanjanja wanamtukuza kweli kwa hilo jina .... me kila nikiona hio title kwenye media huwa nasikia kichefuchefu kwa kweli!!

Mkuu madabweda, asante sana kwa mchango wako

Underlined: Mheshimiwa hawezi kujenga hoja hata kidogo cjui hii degree aliyoipata nini wasiwasi kama ilitoka UDSM mana ukitoka pale nina uhakika kwamba unaweza kusimama kwenye jamii inayokuzunguka na kujenga hoja

Red: Na mwaka huu na atakimbia subilini mtaona

Blue:hapo ungekuwa una spika kubwa ungewauliza ITV NA REPOTAZ WAKE

Back
Top Bottom