Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

Zombe acha upunguani! Hii nchi niyawageni ni yetu? wamekuja wangapi na wananchi wamefaidika na nini? ningekuwa nakujua ningekata kichwa chako maana hauna faida ya kuishi katika nchi yetu.
Ila muda unakuja!
 
wana JF kitendo cha polisi kizuia Maandamano ya CDM tena KTk hatua Za mwisho kimenifanya nitafakari sana,na kuhisi mambo mengi sana.lkni kubwa ni hili la Dowans. Kama tunavyo jua CDM na DR. SLAA (PHD)
siku za hivi karibuni wamemtuhumu JK huhusika na DOWANS.mi nadhani kwamba;
JK aliamlisha maandamano yavugwe maana alijua atalipuliwa LIVE.na swala la ngeleja kutangaza dowans kulipwa jana wakati viongozi CDM wapo ktk majonzi na purukushani za maandamano,inanishawishi kuamini kuwa hili jambo lilipangwa strategically na kwa kusudi ili kuhalalisha malipo maana wasingefanya hivyo basi walikuwa wakwisha.

NATOA HOJA
 
Hoja imeungwa mkono( wanaoafiki waseme NDIO)

police kosemeshwa na kodi yetu na tena analipwakutokana na hiyohiyo kodi yetu kisha anawapiga watu wetu! Nakubali Mwema si mwema tena na intelijensia yake! (Nguvu iliyotumika kuzima maandamano kwa nini isitumike kuhakikisha usalama kwenye maandamano hayo?)

Mwema, Salamu zako mjomba!
 
Hizo ndio sababu ambazo hazipingiki, kulikuwa kuna umuhimu gani wa kufanya maandamano wakati kuna wageni? tena ni wawekezaji muhimu? kama si kuwatisha?
Simple freedom of expression and freedom of association are foundation of democracy and free economy in global business. na hao wageni wako wanaambiwa Tanzania ni mfano wa mataifa ya kia frika ambayo demokrasi yake inakua. Kumbe fix tu. Ndiyo maana nawe unakodishwa kupaka chokaa kaburi lenye mifupa iliyooza kuwa Tanzania ni nchi ya amani.
 
Viongozi wa Chadema walilazimisha maandamano yafanyike licha ya kuombwa na Mkuu wa Polisi Tanzania kuwa yasifanyike kwa sababu tu:

Walikuwa na nia ya kuwatisha wawekezaji wakubwa duniani ambao wapo Tanzania, huko huko Arusha kwa sasa.

Wawekezaji hao, wakiongozwa na Dhirubhai Ambani walikuwa Tanzania kwa nia ya mapumziko na biashara na kutazama mandhari ya Tanzania na uwezekano mkubwa wa kuwekeza Tanzania.

Kwa roho mbaya tu na kwa nia isiyoyatakia mema Tanzania, viongozi wa Chadema wakahakikisha maandamano hayo yanafanyika kwa lazima na hata yangeruhusiwa na polisi basi fujo lazima zingetokea ili kuwatisha hao wawekezaji waone kuwa Tanzania si pa kuwekeza.

Yote hiyo, ni kwa sababu tu, ya chuki zao binafsi walizozijenga baada ya kuangushwa vibaya kwenye uchaguzi uliopita.

Hakuna mantiki yoyote kwa wana siasa walio mahiri kulazimisha maandamano yafanyike wakati kuna wageni, tena wawekezaji muhimu ambao hakuna nchi katika hii dunia yetu ya sasa isiotaka wawepo au watembelee kwao.

Viongozi wa Chgadema kwa ajili tu ya chuki zao binafsi, wakaona hii ndio fursa ya kuipakaza matope (kama si m*v*) Tanzania. Walijuwa kuwa wawekezaji wakubwa kama hawa wanapokuja tena kwa idadi kubwa kama iliowasili hapa, lazima kuna waandishi wa habari wa kimataifa hususan wa mambo ya kibiashara na pia kuna watu wa intelijensia za kibiashara ambao misafara kama hiyo huwa hawakosekani.

Kwa namna ya maisha tunayoishi wa Tanzania au kwa mpenda amani yoyote, hata kama mna ugomvi wenu wa ndani, ajapo mgeni, tena ambae anaweza kuleta manufaa nyumbani kwenu, huwa mnasitisha ugomvi kwa siku mbili tatu mpaka mgeni aondoke. Haya hutokea hata majumbani mwetu, tukipapurana na bahati nzuri au mbaya mgeni akibisha hodi basi mara nyingi kwa wenye akili husitisha kupapurana kwao, wakamhudumia mgenina ikibidi kupapurana, wataendelea mgeni akisha ondoka.

Leo Chadema wameonyesha sura gani ya nchi yetu, kwa kulazimisha maandamano yaliyositishwa na Mkuu wa Polisi, mbele ya hawa wageni?

Nna uhakika, sura walioionyesha si nzuri, lakini, ni matumaini yangu kuwa wenyeji, waliowaalika hawa wageni, wataweza kuwafahamisha ukweli ulivyo na wataridhia si tu kuja tena kutembelea Tanzania, bali na kuwekeza kwa wingi, kwani kwa sasa bado tunahitaji mitaji ya nje.

Nawaomba wa Tanzania walaani kitendo cha viongozi wa Chadema baada ya kuuelewa huu ukweli wa kwanini hawa viongozi walilazimisha maandamano yafanyike.

Mungu awalaze popote apendapo Marehemu waliofarik.
Niruhusu nikutukane, M.....ge
 
Kumbe nchi yetu ina police. Safi sana. Wamezoe kutania. We have to learn how to obey the law. Vita vya maji maji. Walidanganywa kuwa ukisema maji risasi hakupati. chadema msidanganye wananchi plse
 
We umejaa makamasi kichwani
 
Back
Top Bottom