ALJAZEERA na Mambo ya ARUSHA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ALJAZEERA na Mambo ya ARUSHA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by charityboy, Jan 7, 2011.

 1. c

  charityboy Senior Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Source: Tanzania leader released on bail - Africa - Al Jazeera English

  Tanzania leader released on bail

  Opposition party chairman Freeman Mbowe freed a day after police opened fire and killed two anti-government protesters.

  07 Jan 2011

  [​IMG] Two people were killed when police opened fire on anti-government protesters in Arusha on Wednesday [AFP]

  Freeman Mbowe, the chairman of Tanzania's opposition party Chadema has been released on bail by a local court, a day after police shot dead two anti-government protesters.

  After being released along with a group of other opposition legislators and their supporters on Thursday, Mbowe urged his followers to continue to fight for their rights.


  "We are brave leaders, we will keep fighting for our rights without fear, we will not be afraid to suffer or get injured while defending our nation and we are requesting the youth, women and elders of Arusha, to understand that we know there are laws and orders of ruling the country," he said.

  Following his release, Mbowe and other Chadema leaders visited a local hospital where a dozen opposition supporters were admitted with gunshot wounds and other injuries after riot police fired at crowds of protesters during a banned rally in the northern town of Arusha on Wednesday.


  Several thousand supporters of the Chadema party had gathered in the town centre to protest what they say was the fraudulent re-election of Jakaya Kikwete, the president, in October.


  Several protesters were taken in by police who fired to disperse crowds trying to march on the police headquarters.

  The provincial police chief said 49 Chadema members had been arrested, including Mbowe and Wilbrod Slaa, the party secretary-general and who ran in the October presidential election and finished second.

  Mbowe said they had information that the police had used live ammunition which caused deaths during the protest.

  "A lot of people have been shot by live bullets and some have been fatal," he said.

  "We have information that few people have lost their lives following the wounds inflicted to them by the police force using live ammunition including the tear bombs. And now we have to form a committee which will probably come and visit this hospital to find out what we can do."
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mh, kazi ipo! huyo anayeburuzwa ndiye mbowe?
   
 3. m

  mzalendo2 Senior Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mm kampeni yangu kwa leo ni moja tu hawa polisi hata kwa kuwawekea sumu tuwauweni hata kama kumi hivi tena hawa wakuu wao wapate kuona uchungu tunaoufeel
   
 4. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hawa police wanahitaji maombi!!!
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,017
  Trophy Points: 280
  anayeburuzwa ni mwanamke atakuwa mmoja wa wabunge
   
 6. c

  charityboy Senior Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipeni THANKS basi kwa POST nzuri jamani.
   
 7. S

  Somi JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Dunia imeshajua kilichotokea arusha asante aljazeera
   
 8. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapo alja...wameidanganya dunia.hiyo haikuwa theme ya maandamano ya siku hiyo!!!!
   
 9. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tupo karibu kupata uhuru wa kweli kutoka kwa ukoloni wa ccm na security guard wao igp mwema (msaka tonge kwa kutii amri za mafisadi nakuua watanzania wasio na hatia)......

  Najua nguvu ya chadema na people powers inawaogopesha ccm lakini me nawmbia hawatatawara milele ipo siku hata hao polisi watajutia kutii amri za kishenzi.....
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nimeiona sasa hivi Aljazeera TV Mh. Mbowe akiwa na wapiganaji wengine kuwajulia hali majeruhi pale Hospitali ya Arusha, kwa kweli inatia uchungu jinsi watu walivyoumia..
   
 11. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  lakini mbona wametumia picha nyepesi hivyo? watumieni ile ya mtu aliyepigwa risasi kifuani anavuja damu, sijui naye alikufa?
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimetekeleza ombi lako kuu, endelea kutujuza zaidi.
   
 13. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kutii amri za kijinga kutoka kwa watawala wa kifisadi ni ushenzi. Polisi wetu ni wachumia matumbo. Wanawatumikia wanasiasa kwa ajili ya matumbo yao. Ni aibu na fedheha.
   
 14. K

  Kizito Member

  #14
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatuwezi kukupongeza kwani hii ni kazi ya wote wanaowaza vizuri (Great thinkers) kama kuna picha zingine tuwekee.
   
 15. M

  Msharika JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani kile kisiwa cha amani kinazama polepole.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Police ni mbwa,mbwa,mbwa kabisa,i hate them!ah
   
 17. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hawa Askari hawajui kuwa hizi uniform ni nguo tu na wamepewa kwa kodi ya Umma ambao ndio wanawaburuza chini? Kitendo cha Polisi kutumiwa kukandamiza Umma chini ya uongozi wa IGP Mwema, imeondoa credibility ya Jeshi la Polisi na uhalali wa IGP Mwema kuendelea kuongoza jeshi la Polisi, na pia imani kubwa imepotea kama ambavyo alisema hata Prof Lipumba kuwa IGP mwema sio kama watu walivyokuwa wanamwamini au kumuelewa, bali alishatekwa na wanasiasa kuangamiza amani, utulivu na ustawi wa umma na maendeleo ya demokrasia.

  Tunahitaji watu wenye dira na mwelekeo ktk majeshi yetu yote. Ukombozi ni lazima. Askari lazima nao wakombolewe maana wapo ktk kifungo kikubwa cha wanasiasa na mafisadi.
   
 18. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa mara ya kwana thread yako ina maana kwa sababu mawazo yako binafsi umejaribu kuyatawala
   
 19. V

  Vancomycin Senior Member

  #19
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  RIP our dear brothers in AR.
   
 20. c

  charityboy Senior Member

  #20
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatuwezi kuvumilia vitu vya namna hii. Mimi nilikuwa sijajua hali halisi jamani. INAUMA SANA
   
Loading...