Recent content by Kivuruge girl

  1. Kivuruge girl

    Sifa za mwanume wa kweli

    Mwanaume wa kweli hana govi
  2. Kivuruge girl

    Saikolojia: Waelewe Wanaume (Understand Men)

    ngoja nimalizane na muda wa mwajiri, badae nitarudi
  3. Kivuruge girl

    Nikimuona mwili unatetemeka

    ohoooooo mtu anatetemeka walahi, tupicha tuone
  4. Kivuruge girl

    Benjamin Fernandes Ni nani?

    Mnaendelea kulalamika mwenzenu anaitumia fursa kisawasawa
  5. Kivuruge girl

    Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

    For the first time ndio nimesikia sauti yake, sauti yake nyororo balaaaa
  6. Kivuruge girl

    Mnaionaje hii show ya "Refresh" kutoka Wasafi Tv?

    Hiyo wasafi TV inaonyeshwa kwenye king'amuzi kipi? Maana chanel za bongo naangalia ITV tena kipindi kimoja tu Isidingo, baada ya hapo tutakutana kwenye tamthilia zetu
  7. Kivuruge girl

    Je, ni mambo yote unaweza kumwambia rafiki yako?

    Unafunga bakuli lako, unaacha maisha yao yaendelee, hautapungukiwa na kitu
  8. Kivuruge girl

    Wanawake kwanini mnakuwa wakorofi na wasababishi wa matatizo bila sababu zozote za msingi?

    Huyo jamaa yako angemla huyo msishana, labda mwanadada angekuwa na adabu kidogo. Ila kama walivyosema wadau, hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanamume.
  9. Kivuruge girl

    Aliniudhi sana alipotaka nimpe pattern ya kufungulia simu tukiwa katikati ya gemu

    Sasa wakati wa tendo aliwezaje kupambana na simu. je ushirikiano alikuwa anaonyesha kweli, Maana as far as I know ukiwa katikati ya ile mambo, siwezi kama waweza fanya shughuli nyingine. Pole sana mkuu, ila possibly alikuwa miaka ile ya kitoto kitoto, mature girl hawezi fanya huo ujinge. N y I...
  10. Kivuruge girl

    Inakuwaje mwanaume unamrudia msichana uliyemuacha?

    Itakuwa huko alikoenda ameipata fresh ya shamba, mpaka akakumbuka alikotoka. Wangu alirudi kwa magoti, sijui nini kilimkuta huko. Ila ni sehemu moja wapo ya kujifunza, thamani ya kitu/mtu inaonekana pale ambapo haipo
  11. Kivuruge girl

    Kazi kwako wewe mwanamke ukweli ndiyo huu...

    Hapo kuna mawili, either anakuambia uwahi kwa wife wako, ili apate muda wa kuwa na mwingine. Mjini shule kweli
  12. Kivuruge girl

    Njia ya kuongeza hamu ya kufanya mapenzi kwa wanawake

    Habari za jioni waungwana, Hili ni swali tu ambalo najiuliza na mpaka sasa sijapata jibu. Je kuna njia yoyote/ chakula/kinywaji chochote ambacho chaweza tumika kuongeza ashki ya kufanya mapenzi kwa wanawake?
  13. Kivuruge girl

    Aliondoka bila kuniaga na kuniacha na mimba na amerudi bila hata kunijulisha. Je, nimtafute?

    Wahindi its very rare kuoa mwanadada mweusi, huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe, hata wale ambao unakuta wako tz wanafanya kazi, kule kwao wamekuwa wameacha mke na watoyo. Nashangaa imekuwaje mpaka huyo akakupa mimba, maana yani hata ufanye nae mapenzi kwa style gani, hawezi kufanya mapenzi...
Back
Top Bottom