Aliondoka bila kuniaga na kuniacha na mimba na amerudi bila hata kunijulisha. Je, nimtafute?

Muhindi sio mzungu dada Mayasa.... Hao hawachangamani na magolo... Labda alikuwa anakutumia kwa hamu zake... Usitegemee lolote kutoka kwake... Unajua kwanini amerudi hajakutafuta? Amejua umepata mtoto.. Hatakutafuta tena hawataki kusikia hiyo habari kabisa. Ungekuwa bado hujazaa angekutafuta muendeleze mchezo wenu... Lakini kwasasa hutamuona tena. Huyo mtoto ni wako, jitahidi kutafuta umtunze.. Na usitegemee kabisa kama muhindi atajali au kumtafuta mwanae kama ilivyo desturi za wazungu...
Duuuhx!!!! Sawa mdogo wangu kajembejr
 
Huwa hauli liboro lake?? I think it's okay for to be accountable for results of your faults.

"Mgabe anasema msichana akipewa urembo akanyimwa akili kichwani mateso inapata papuchi yake" tulia ulee nyau wewe unapenda slope..! Ukiona mteremko ujue ukisha kuna mpando pandisha sasa.
Duuuh!!!!! Mbona kama unajipa magonjwa kwa kupaniki jambo hata halikuhusu mkuu....
 
Wahindi its very rare kuoa mwanadada mweusi, huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe, hata wale ambao unakuta wako tz wanafanya kazi, kule kwao wamekuwa wameacha mke na watoyo. Nashangaa imekuwaje mpaka huyo akakupa mimba, maana yani hata ufanye nae mapenzi kwa style gani, hawezi kufanya mapenzi (talking from my experience) bila kinga ilamradi tu asikutie mimba. Kwako its very exceptional mpaka ukapata mimba.
Ushauri wangu kwako, acha amuone mtoto na malezi akitaka kutoa muache atoe, ila hapo hakuna future, huyo atakuwa anamke huko kwao na ndio maana alipotea mazima. Pole sana kipenzi.
 
Kama amekuzalisha shukuru lea mwanao watoto wa nje ya ndoa tunakuwa na baraka saana
 
Mtoto kashakua ee
Miwasho imeanza upya?
Umesahau machungu alokusababishia?
Nenda akakupachike nyingine akimbie tena
Alafu rudi hapa tutakushauri
 
Back
Top Bottom