Kazi kwako wewe mwanamke ukweli ndiyo huu...

Ngolewasima

Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
51
Reaction score
112
UKIAMUA KUWA NA MAHUSIANO NA MUME WA MTU LAZIMA UKUBALIANE NA MAMBO YAFUATAYO:,
1.Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu

2.Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa

3 Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao

4..Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua

5.Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife

6.Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa

7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta.,baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi

8.Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini.. ,nilikua na mke wangu

HAYA KAZI KWAKO
 
Kuna kamwanachuo kangu ako yaani kananipa raha balaa na hayo uliyoyasema ndio uwa kananikumbusha kenyewe. Sijui kamesomea wapi jinsi ya ku-handle mume wa mtu. Yaani tunaweza hata kwenda kwenye sherehe ya ndugu yake na nikawepo na wife na kenyewe kapo bila hata kusumbua wala kujionyesha kana nidhamu na ndio ka kwanza kunikumbusha niwahi nyumbani. Kamenipunguzia sana stress kwenye hii dunia kwa kweli. Kakiolewa kale katoto roho yangu itaumia sana
 
Dah!
 
Imebidi nicheke kwa sauti tu!! Nadhani kamekupenda kwa dhati japo ujue nako kanafaidi kwa namna moja ukichukulia na hii hali ngumu kiuchumi. Ni wanawake wachache sana wako hivyo!! Tatizo linakuja bado na tamaa zako unakatafutia msaidizi lol!!
 
Changamoto huwa hazikosekani popote pale, cha msingi ni kutafuta njia bora za kukabiliana nazo
 
Kuna kamwanachuo kangu ako yaani kananipa raha balaa na hayo uliyoyasema ndio uwa kananikumbusha kenyewe. Sijui kamesomea wapi jinsi ya ku-handle mume wa mtu. Yaani tunaweza hata kwenda kwenye sherehe ya ndugu yake na nikawepo na wife na kenyewe kapo bila hata kusumbua wala kujionyesha kana nidhamu na ndio ka kwanza kunikumbusha niwahi nyumbani. Kamenipunguzia sana stress kwenye hii dunia kwa kweli. Kakiolewa kale katoto roho yangu itaumia sana
Teh teh teh
 
Oooh kumbe wewe ni funza
 
Hapo kuna mawili, either anakuambia uwahi kwa wife wako, ili apate muda wa kuwa na mwingine. Mjini shule kweli
 
Bora tulio na wakwetu sasa Kama anamwambia aga mtu manenohayo watajuana
 
Imebidi nicheke kwa sauti tu!! Nadhani kamekupenda kwa dhati japo ujue nako kanafaidi kwa namna moja ukichukulia na hii hali ngumu kiuchumi. Ni wanawake wachache sana wako hivyo!! Tatizo linakuja bado na tamaa zako unakatafutia msaidizi lol!!

Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha kula tena
 
Kuna kamwanachuo kangu ako yaani kananipa raha balaa na hayo uliyoyasema ndio uwa kananikumbusha kenyewe. Sijui kamesomea wapi jinsi ya ku-handle mume wa mtu. Yaani tunaweza hata kwenda kwenye sherehe ya ndugu yake na nikawepo na wife na kenyewe kapo bila hata kusumbua wala kujionyesha kana nidhamu na ndio ka kwanza kunikumbusha niwahi nyumbani. Kamenipunguzia sana stress kwenye hii dunia kwa kweli. Kakiolewa kale katoto roho yangu itaumia sana
Kaoe tu mkuu,kawe kasekandi waifu
 
Bora kaolewe tu ndo yako inusurike na kakayapate na kenyewe.

Kaombee tu kwa karma kapate wa kumkumbusha mumewe arudi home.😀😀
 
ngoja nikatafune tafune kidogo katakuja kuolewa baadae kwanza ndio kananifanya ndoa yangu iwe nzuri yaani kananipunguzia sana stress. Nikirudi home full furaha na mke wangu nadhani kangekuwa hakapo ningekuwa namwangushia stress zote wife.
 
Back
Top Bottom