Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,832
- 5,300
Mapema hivi?!!wasafi ndio kisima pekee cha burudani tanzania...😎😎
Mapema hivi?!!wasafi ndio kisima pekee cha burudani tanzania...😎😎
inaonyeshwa kwenye kinga'muzi cha TING....Hiyo wasafi TV inaonyeshwa kwenye king'amuzi kipi? Maana chanel za bongo naangalia ITV tena kipindi kimoja tu Isidingo, baada ya hapo tutakutana kwenye tamthilia zetu