Recent content by kivato

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vote for tanzania’s beautiful mt. Kilimanjaro

    Hi fellows, PLEASE GET A LITTLE PATRIOTIC AND VOTE FOR TANZANIA’S BEAUTIFUL MT.KILIMANJARO V/S THE UNKNOWN ‘TABLE MOUNTAIN’IN SOUTH AFRICATO BE AMONG THE NEW 7 WONDERS OF THE WORLD. SURVEY SHOWS THATNON-TANZANIANS VOTE FOR IT THAN WE DO. PLEASE LET’S FIGHT FOR THIS CHANCE.PLEASE INFORM AS MORE...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jamani E-mail yangu Msaada

    Nimefanya yote kama mlivyonielekeza, ila zile security questions na alternative email nimezisahau kwani nilifunguliwa na mtu toka 2004. anyone with more alternative to restore my email account, it is very important to me, thank you in advance.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jamani E-mail yangu Msaada

    Wataalamu, E-mail yangu ya yahoo imekuwa compromised, na ina information na data zangu za muhimu sana, siwezi kuiaccess tena. naombeni msaada wenu jamani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Thanx alot for the advise, i will go and consult them
  5. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wadau kuhusu ugonjwa huu Wataalamu poleni na majukumu ya kuhudumia afya zetu, Mimi nina tatizo la ugonjwa wa Vitiligo, lips ya chini imebadilika colour na nyekundu kama nakunywa pombe kali, na kichwani nimetokewa alama nyeupe kama kishilingi, na shingoni nina...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kilwa Road baada ya kumalizika imeanza kuharibika!

    Lakini wakati inajengwa magufuli hakuwa waziri wa ujenzi, walikuwa kawambwa na mramba na KM alikuwa omari nundu, magufuli kafunika kombe kama kawaida ya serikali kulindana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa majibu haya kero za wananchi zitatatuliwa?

    MAJIBU YA MAWAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TNZANIA DHIDI YA KERO ZA WANANCHI Swali alilouliza mbunge ni kweli lipo na serikali ina taarifa nalo Suala hili ni nyeti na hasa kwa usalama wa nchi yetu Hata hivyo katika ziara yake Mh. Rais ameonana na wafadhili na kufanya nao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Majibu ya mawaziri wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya kero za wananchi

    MAJIBU YA MAWAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TNZANIA DHIDI YA KERO ZA WANANCHI Swali alilouliza mbunge ni kweli lipo na serikali ina taarifa nalo Suala hili ni nyeti na hasa kwa usalama wa nchi yetu Hata hivyo katika ziara yake Mh. Rais ameonana na wafadhili na kufanya nao...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Pinda amvaa Lowassa: "Kuvunja Baraza" yataka moyo!

    Pia madiwani wataongezewa osho kuwa kati ya laki 3 na laki5, na posho za wabunge kuongezwa kwenye mishahara midogo ya wabunge
  10. K

    JamiiForums Tanzania Why africa is 25 years behind the developed world?

    WHY AFRICA IS 25 YEARS BEHIND THE DEVELOPED WORLD? AFRICAN LEADERS Abdoulaye Wade (Senegal)- age 83 Hosni Mubarak (Egypt) - age 82 Robert Mugabe (Zimbabwe) - age 86 Hifikepunye Pohamba (Namibia) - age 74 Rupiah Banda (Zambia) - age 73 Mwai Kibaki (Kenya) - age 71 Ellen Johnson Sirleaf...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

    Usinywe red bull -- ni hatari kwa maisha yako – hasa vijana....
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa mwisho wa michango mikubwa ya sherehe

    MWANZO WA MWISHO WA MICHANGO MIKUBWA YA SHEREHE Nimekuwa nafuatilia jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa inavyozidi kushika kasi, ikipelekea ule wigo wa kuomba michango kupanuka kiasi kwamba sasa hata mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba mchango...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Noti mpya ya shilingi elfu hamsini na laki moja inahitajika kwa Tanzania

    Katika dawa sio kuanzia noti mpya, ila kuna haja ya benki zetu kuongeza muda wa kufanya kazi. kwa mfano benki inakuwa wazi hadi saa tano usiku ambapo utapata huduma zote za kibenki. pia benki zetu kufanya kazi muda kwenye siku za jumamosi na jumapili. Maana benki zingine zinafungwa saa tisa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuonyesha kuwa tuna akili na uwezo wa kufikiri

    NIMEVUTIWA na kauli aliyoitoa Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta Waziri wa Afrika Mashariki ambaye mwanzoni mwa wiki hii aliripotiwa akisema kuwa kuilipa fidia ya Sh 185 bilioni kampuni ya Dowans ni kuhujumu uchumi wa nchi. Ingawa kauli hiyo imepokewa kwa hisia tofauti lakini binafsi...
Back
Top Bottom