Recent content by Kitty Galore

  1. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Hawa wazungu nchini wanatoa wapi hii jeuri?

    Leo nadhani mmesikia Rais akiongelea hili swala la migodi Shinyanga. Tufike mahali tutangulize uzalendo kwanza. Nasisitiza, wananchi tupewe namna ya kuwakilisha huu unyanyasaji, nasi tutoe ushirikiano
  2. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Hawa wazungu nchini wanatoa wapi hii jeuri?

    Tupewe namna ya kuwakilisha kero zetu na serikali ifuatilie, sisi ndio tunaoishi nao na tunawajua
  3. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Hawa wazungu nchini wanatoa wapi hii jeuri?

    Sio wote tupo Daslam mkuu, na wa mikoani tusafiri kuja Segerea?
  4. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Hawa wazungu nchini wanatoa wapi hii jeuri?

    Hatubagui tufuate sheria za nchi Nenda kwao usifuate sheria, uone watakavyo kubembeleza kwa sababu hawakubagui
  5. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Hawa wazungu nchini wanatoa wapi hii jeuri?

    Kumekuwa na unyanyasaji wa wananchi katika ardhi yao huku viongozi wakifumbia macho mambo haya. Jana ITV nimeona wananchi wakifukuzwa kwenye mashamba yao walipozaliwa wakiambiwa wampishe mwekezaji, hivi mimi mTanzania naweza kwenda Africa ya kusini, au Ulaya na kufukuza watu sehemu yao kisa...
  6. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Mzee Majuto ITV yanaboa

    Wachague basi mtu wa maana, sioni talent ya Majuto kabisa
  7. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Mzee Majuto ITV yanaboa

    Hata hili la Chedi na grp lake la ma ex whatsap, nini sasa kile?
  8. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Mzee Majuto ITV yanaboa

    Tangazo linatosha kabisa kusababisha mtu uone bidhaa ni fake, hata kama nina wazimu, siwezi nunua lile godoro
  9. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Mzee Majuto ITV yanaboa

    Sijui waandaaji waliwaza nini, matangazo hayana mvuto
  10. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Mzee Majuto ITV yanaboa

    Linaboa kuliko matangazo yote mnayorusha. Jaribuni kuwa creative. Yote ya magodoro na ivory sweets. Inatusababisha baadhi yetu tuchukie products zenu
  11. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Wananchi tunaona na tunaridhishwa na utendaji wako uliotukuka. Ni muda sasa tumekuwa tukilalamika katika maswala mbalimbali, lakini sasa tuna imani yale yote yaliyokuwa sio utayarekebisha. Ikumbukwe kidole kimoja hakivunji chawa. Tunashauri, uunde kitengo cha kupokea maoni na malalamiko ya...
  12. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume utanunuliwaje pombe kila siku?

    naona kuna watu imewagusa sana, kama mna tabia hiyo muache, mwanaume mdoezi hapendezi, fanya kazi kunywa bia
  13. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume utanunuliwaje pombe kila siku?

    Jana nilikuwa sehemu moja maeneo ya Segerea na mume wangu. Katika kupata kinywaji wakaja baadhi ya marafiki zake, ila kuna huyo mmoja mwisho wa siku alitia aibu sana. Muda wote wenzie wanachangia bill yeye ni kupiga story tu na baadae akaingia mitini, katika kudodosa nikaambiwa ndio tabia yake...
  14. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume aliye 'serious'

    dada kama hufanyi kazi, nani anataka goli kipa? maisha magumu siku hizi ni kusaidiana, nakutakia kila la kheri ila kukushauri tafuta kwanza kazi, mume utampata huko huko
  15. Kitty Galore

    JamiiForums Tanzania How can you let it go?

    Ama kweli JF ni kila kitu, siamini kama mimi ndio nilitoa hii thread kuomba ushauri. Ni mwaka sasa na nimeshasahau maumivu yote na sasa naendelea na maisha yangu kama kawaida. Asanteni wote kwa ushauri wenu
Back
Top Bottom