Hivi mwanaume utanunuliwaje pombe kila siku?

Kitty Galore

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
345
Reaction score
100
Jana nilikuwa sehemu moja maeneo ya Segerea na mume wangu. Katika kupata kinywaji wakaja baadhi ya marafiki zake, ila kuna huyo mmoja mwisho wa siku alitia aibu sana. Muda wote wenzie wanachangia bill yeye ni kupiga story tu na baadae akaingia mitini, katika kudodosa nikaambiwa ndio tabia yake.
Hivi nyie wanaume wenye tabia hii, huwa mnajisikiaje pale dume mwenzio anapokunywesha na kukulisha? Mnatia aibu sana
 
I hae noted from personal experience that tabia hiyo inawakera wanawake zaidi kuliko inavowakera wanaume
Wanaume wanapo toka hawajiulizi who pays, bill ikija kila mtu anaweka zile alizonazo and life just goes on
Ila wanawake we are so conscient about who pays, what fraction he/she pays, when was the last contribution etc.
of course sio wanawake wote wanaaangalia hilo, na sio wanaume wote wanalipuuza, but in general nimenote hivo
 
ninamshukuru mungu mimi na mume wangu hatupo huko kwenye mabaa wala maclub .hiyo ni another rubbish line niliyowahi experience with my father tulipokuwa walevi in my younger age.
 
haiyaaaa.....hi mada tulivu.......ngoja niwatch kwanza........
 
Jana nilikuwa sehemu moja maeneo ya Segerea na mume wangu. Katika kupata kinywaji wakaja baadhi ya marafiki zake, ila kuna huyo mmoja mwisho wa siku alitia aibu sana. Muda wote wenzie wanachangia bill yeye ni kupiga story tu na baadae akaingia mitini, katika kudodosa nikaambiwa ndio tabia yake.
Hivi nyie wanaume wenye tabia hii, huwa mnajisikiaje pale dume mwenzio anapokunywesha na kukulisha? Mnatia aibu sana

Nawe toa boliti kwenye jicho lako kwanza, wewe ulichangia bill? Au wewe ulikuwa unadandia bill ya mmeo? Huu unyonyaji tunaupinga.
 
I hae noted from personal experience that tabia hiyo inawakera wanawake zaidi kuliko inavowakera wanaume
Wanaume wanapo toka hawajiulizi who pays, bill ikija kila mtu anaweka zile alizonazo and life just goes on
Ila wanawake we are so conscient about who pays, what fraction he/she pays, when was the last contribution etc.
of course sio wanawake wote wanaaangalia hilo, na sio wanaume wote wanalipuuza, but in general nimenote hivo

Wanaume hawanaga hiana sio wachoyo, hata kama hana yupo radhi wagawane na mwenzie hii tabia tofauti sana kwa wanawake, wanawake wamejaa wivu, masengenyo, uchoyo uliotukuka, kijiba cha roho mbaya.
 
excuse me? (note that you are talking to a woman here)...
 
Jana nilikuwa sehemu moja maeneo ya Segerea na mume wangu. Katika kupata kinywaji wakaja baadhi ya marafiki zake, ila kuna huyo mmoja mwisho wa siku alitia aibu sana. Muda wote wenzie wanachangia bill yeye ni kupiga story tu na baadae akaingia mitini, katika kudodosa nikaambiwa ndio tabia yake.
Hivi nyie wanaume wenye tabia hii, huwa mnajisikiaje pale dume mwenzio anapokunywesha na kukulisha? Mnatia aibu sana
Kitty Galore mbona ulikuwa na kazi ulichokifata bar na muwewe ni kujipa raha wenyewe
au kudodosa starehe za wenzenu????

tukirud kwenye lengo la thread hiyo kitu ipo sana lakin wanaume wanaponunua
bia huwa hata hawajali wao wanajua kutumia that time mengine baadae
 
Last edited by a moderator:
KULIPA NAKO KUNA HESHIMA YAKE!!!!!!!! Mjini you dont ask for Respect, You Command Respect from friends and the Public. Huwezi kuwa Donn kizembezembe! The good thin abt being a Donn wewe ndo unaamua muanzie wapi kuteketeza bata na muishie wapi kila mtu akalale.

Watu wanagombaniaga hilo chansi la kulipa bili na kuweka Heshima Bar!!!!!!!!!!! Unasikia leo sitaki mtu anywe pombe ya kimaskini maskini! Kama unakunywa bia za wachovu hama meza kaa na wachovu wenzio!!!!!!!!! Hapa tunakunywa Pombe Imported from U.S and Europe only! We binti Mna pombe gani very expensive kwa hadhi yetu? Naomba zitirirke hapa kama mto nile! (Kama Bar/Pub yako unaimbaje Haleluya!!!!!!!!!!) Chezeya nguvu ya Pesa!

Ukifulia unabakia memories of good old times. Jackie Wolper alikuwa anavaa gauni la Valentino original from the runway, leo hii anachagua mitumba????????? (I aint mockin u sis except i wanna let u know that I NOTICED AND DAG YOUR SHIT WHILE IT LASTED! )

Pesa mwanaharamu!!!!!!!!!!!!
 
ninamshukuru mungu mimi na mume wangu hatupo huko kwenye mabaa wala maclub .hiyo ni another rubbish line niliyowahi experience with my father tulipokuwa walevi in my younger age.
Wewe na mmeo hampo... Ila yeye mwenyewe anakuwepo... Au?
 
KULIPA NAKO KUNA HESHIMA YAKE!!!!!!!! Mjini you dont ask for Respect, You Command Respect from friends and the Public. Huwezi kuwa Donn kizembezembe! The good thin abt being a Donn wewe ndo unaamua muanzie wapi kuteketeza bata na muishie wapi kila mtu akalale.

Watu wanagombaniaga hilo chansi la kulipa bili na kuweka Heshima Bar!!!!!!!!!!! Unasikia leo sitaki mtu anywe pombe ya kimaskini maskini! Kama unakunywa bia za wachovu hama meza kaa na wachovu wenzio!!!!!!!!! Hapa tunakunywa Pombe Imported from U.S and Europe only! We binti Mna pombe gani very expensive kwa hadhi yetu? Naomba zitirirke hapa kama mto nile! (Kama Bar/Pub yako unaimbaje Haleluya!!!!!!!!!!) Chezeya nguvu ya Pesa!

Ukifulia unabakia memories of good old times. Jackie Wolper alikuwa anavaa gauni la Valentino original from the runway, leo hii anachagua mitumba????????? (I aint mockin u sis except i wanna let u know that I NOTICED AND DAG YOUR SHIT WHILE IT LASTED! )

Pesa mwanaharamu!!!!!!!!!!!!
ooooooops!
 
Jana nilikuwa sehemu moja maeneo ya Segerea na mume wangu. Katika kupata kinywaji wakaja baadhi ya marafiki zake, ila kuna huyo mmoja mwisho wa siku alitia aibu sana. Muda wote wenzie wanachangia bill yeye ni kupiga story tu na baadae akaingia mitini, katika kudodosa nikaambiwa ndio tabia yake.
Hivi nyie wanaume wenye tabia hii, huwa mnajisikiaje pale dume mwenzio anapokunywesha na kukulisha? Mnatia aibu sana

Hata mme wako kabla hajawa nazo, alikuwa ananunuliwa pombe/supu na washkaji zake.....
 
Bora huku Kimbangisye hakuna raundi wala nini.........unalewa kwa nguvu ya mapafu yako....na safari za chooni hakuna

WASAFWA+9.jpg
 
I hae noted from personal experience that tabia hiyo inawakera wanawake zaidi kuliko inavowakera wanaume
Wanaume wanapo toka hawajiulizi who pays, bill ikija kila mtu anaweka zile alizonazo and life just goes on
Ila wanawake we are so conscient about who pays, what fraction he/she pays, when was the last contribution etc.
of course sio wanawake wote wanaaangalia hilo, na sio wanaume wote wanalipuuza, but in general nimenote hivo

I totally support you, wanawake wengi wana-mind sana hii hali. Na pia kuna baadhi ya wanaume ambabao wako kama
Kitty Galore, inawauma sana wakiona mwenzao hachangii kwenye kununua rounds. Kuna wanaume ambao huwa hawako financially vizuri, lakini ni watia story wazuri na company zao ni marafikizao ambao wana hela. Hawa wanaume watia story unaweza kukuta wanauwezo wa kujinunulia bia z 2 au 3 tu, na siyo kuzungusha round ya watu 10! Ndio maana wakati wenzake wananunua pengine yeye alikuwa na elf 5 tu mfukoni (ya bia zake 2 na nauli ya bodaboda).
 
Kuna jambo moja ambalo akina mama wengi huwa hawalioni.Unajua katika maisha wanaume huwa wanasaidiana katika mengi,wakati mwingine mwanaume huwa anapitia kipindi kigumu sana,na ni hao hao wanaume wenzie wanamuokoa.Kuna wakati na wewe ukiwa vizuri huwezi kuwatosa.Ni ushirikiano unaoendana na Interest.Kwa mfano:wavuta sigara nao wanajua na kusaidiana kulingana na shida zao,halikadhalika wanywaji nao hushirikiana vivyo hivyo.Jambo ambalo wanawake wengi hawalielewi, kwenye hivi vikao ndio information nyingi zinapatikana za kuweza kukutoa kimaisha.
Kwa hiyo dada ukiona mtu halipi ujue kayumba,ila wenzie wanaelewa na ndio maana wanamu accomodate.
 
Back
Top Bottom