Recent content by kitonge

  1. K

    Nahitaji mume awe anaishi Mbeya

    Wasiliana ma mh. Sugu maana kufuatana taarifa zilizopo yupo mbio kuoa uwe tayari tu kumlea shasha
  2. K

    Dk. Slaa: Watanzania mwisho wa mateso ni Oktoba mwaka huu

    Walimu hawapewi mishahara,wanafunzi hawana madawati,hospital hakuna madawa,barabara mbovu,tabaka kati ya walionacho na wasio nacho linaongezeka,rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma unashika kasi!je,unasubiri mungu ashuke mwenyewe ili ayamalize haya matatizo?kama haupo tayari kushiriki kwenye...
  3. K

    Dk. Slaa: Watanzania mwisho wa mateso ni Oktoba mwaka huu

    Jisaidie ili mungu akusaidie,use your head dont lwt your head use u
  4. K

    Ushauri wa bure kwa Diamond

    Kuna tofauti ya kuwa maarufu na kufanya kazi na watu maarufu nionavyo diamond bado hajakuwa maarufu kimataifa kama baadhi wanavyoamini anachofanya ni kutafuta pesa kwao na kwenda kuwalipa wa nigeria ili arekodi nao,ndio maana kama unavyoona hapati mialiko zaidi ya nchi zilezile za east au...
  5. K

    Tume ya Upwaguzi: Eti huyu kajiandikisha mara mbili kwa BVR?

    Kufuatana na mfumo wa BVR kujiandikisha ni hatuna ya kwanza tu baada ya hapo data zote upelekwa na kuingizwa kwenye kwenye central system ambayo pamoja na mambo mengine ni kukagua matatizo kama hayo hivyo kwa huyo kijana litarudi jina moja tu
  6. K

    David Kafulila: Nchi imewekwa mfukoni na singasinga mmoja

    Yaani katika watu ambao nAshindwa kuwaelewa kabisa ni huyo kinjeketile jnr naonekana yuko very proud to be mpumbavu, hakuna hata mara 1 ambapo amechangia kama mwenye akili timamu
  7. K

    Serikali iwatupie jicho kali BASATA

    Hapo sijakuelewa nn haswa una maana gani,ila bado naendelea kushangaa tu ili suala unavyolitolea povu
  8. K

    Serikali iwatupie jicho kali BASATA

    Typically u!usitegemee kila siku kuona au kusikia unachopenda.
  9. K

    Serikali iwatupie jicho kali BASATA

    Tangu ili suala limeanza hii ni comment yangu ya pili imean kwanza ni hiyo hapo juu but nashangaa kila social network niliyoingia yaani niwewe unayeonekana kupiga kelele!hii ndio maana ya kushupaa.mm bro im living completely diff live na hii yako najua ndio huko unakopata income but mara...
  10. K

    Serikali iwatupie jicho kali BASATA

    Mm naomba kujua tu ww unalipwa kiasi kwa hii nguvu unayotumia mara tu baada ya diamond kushindwa?maana nijuavyo matatizo ya BASATA yalikuwapo wakati wote hata diamond aliposhinda na kama ww unavyodai ni akili kubwa naamini uliyajua but ukaremain silence hadi yalipogusa interest zako ndio umeamua...
  11. K

    Hivi kwanini watu wa Dar wanapenda kuwaita watu wa mikoani washamba?

    Hahahaha!its soo fun mtu anapokataa sifa yake anayostahiri.ushamba ni sifa iwe mbaya au nzuri kama mshamba ni mtu mwenye hadhi hiyo mfano;mwizi,mlevi,msomi,muongo nk,sasa ikiwa unapenda kuitwa msomi kwa sababu ya kusoma basi hauwezi kuikaataa ya ushamba ikiwa umetokea shamba kusiwepo na kuchagua
  12. K

    Zitto Kabwe ahutubia Kabirizi Kigoma, leo Tarehe 17/5/2015

    Hiyo kwetu uswahilini tunaita yarabi nafsi yangu,zito keshaona kukibeba chama kizimakizima mmh!kama ngumu hivi bora ajitafutie mkate wake kivyake
  13. K

    CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    U got to leave prof j alone, jay ni kwetu town ni kama leactuer(sijui huko bush kwenu)umeweka uongo kuh elimu yake but ukweli jamaa ana form 6 tu ambayo ni zaidi ya degree ya vyuo visivyo hata na maji chooni
  14. K

    CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    Hii jf sasa imekaa kishambamba sana hautakiwi what i know hautakiwi umuongelee mtu usimyemjua unless uwe upo kibwege zaidi prof jay ana form 6 ambayo ni zaidi ya degree zao za vyuo ambavyo havina hata maji chooni
  15. K

    Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

    Nimefurahi sana kukaona haka kajamaa maana siku zote nilikuwa nasoma tu kelele zake hahahaha tanzania bw ili tatizo la ajira naona limefika hatua mbaya sana hahahaha hata siasa nayo imegeuzwa kuwa njia ya kuendesha maisha ooh god!
Back
Top Bottom