Recent content by KITINDIKITAMU

  1. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

    Kwaio hapo au kina richard mavoko sijui miller,mbona hawajamtaja diamond?
  2. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz arekodi ngoma na Wiz Khalifa

    Alikiba katoa song salute ft p square aliyechuja mnaimba pambio kila siku, Now diamond yupo na wizkhalifa mnadai kachuja? Witch hunt.
  3. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Diamond ni Balozi mzuri, asemehewe

    Hivi mbona watu wanamuandama diamond tu Je kina alikiba,harmonize na wengineo hawakushiriki kampeni za ccm?
  4. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam tunawasubiri Fainali. Simba hamna kitu ni maneno tu.

    Umri huu bado unawaza ujinga huo?
  5. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Nyie! Cadillac Escalade inakuaje Uber?

    Exactly Watu wanaamini mambe kimambi ni expert katika kila kitu just bcoz yupo states.
  6. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

    Best answer ever
  7. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Bila B Dozen bado XXL ni show nzuri

    Hata East Africa Radio nao hawawatengenezi wao hao presenters Bali wanawatoa mikoani hasa ebony fm iringa,kuna arusha na Tanga.
  8. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Bila B Dozen bado XXL ni show nzuri

    Sio imekufa tu,wameamua hivyo wao
  9. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Bila B Dozen bado XXL ni show nzuri

    Waambie Ukweli mkuu,safi sana
  10. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Hii show mpya ya The big Sunday live wasafi TV

    Haha [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
  11. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Hii show mpya ya The big Sunday live wasafi TV

    Watu wengi sana wanalipa
  12. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Hii show mpya ya The big Sunday live wasafi TV

    Kumbe Ww uko mbali zaidi,unampendekeza bcoz of personal interests
  13. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Hii show mpya ya The big Sunday live wasafi TV

    Mbona yuko poa sana aisee
  14. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Hii show mpya ya The big Sunday live wasafi TV

    Ni kweli kabisa
  15. KITINDIKITAMU

    JamiiForums Tanzania Hii show mpya ya The big Sunday live wasafi TV

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee ni kweli but jamaa ana tu comedy fulani hivi twa kunogesha show yoyote.
Back
Top Bottom