Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Watanzania tupe picha story tutatunga sisi. Waliona picha wamepost rolls royce kuwa wanaiship tanzania, na wala hawakuandika kwa nani. Basi mtoa post kisa alisikia diamond dream car yake ni rolls royce akajua itakuwa ya Diamond. Akaleta habari.
 
Mkuu kama unakumbuka sio mtoa post tu hadi "WAPAMBE" wake wa humu wakasema ni kweli ananunua.
 
hizi mambo tumwachie Ginimbi himself.

yaani parking yake ilikuwa imechafuka,hapa bongo niliiona kwa backresa zanzibar tu.
 
Leo Kuna kuku mdondo ziseme ni issue ya kushindana na kina Mwijaku sijui watu wa Insta.

6 yrs Ago huyu dogo analiota hili gari!
Enzi anajiapiza kuwa na hili gari hata Mwijaku hajulikani mbinguni wala duniani.
Shwaaaaaiiin.

joseph1989 heb uwatag wale wachawi wa kule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom