Recent content by kitendaguro kwetu

  1. K

    Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..

    Kwa wale wataalamu wa vyeo vya utumishi wa umma, katibu wa Bunge na naibu katibu mkuu wa wizara ni kupandishwa au ni kushushwa?
  2. K

    Mikoa inayotumia grid ya Taifa ya umeme yakosa umeme, grid ya taifa imesumbua Kidogo

    Nasikia kuna Giza maeneo ya dar,tanga,Pwani....huku tunaotumia wa Uganda hakuna shida.. Je, grid imezingua au ni mvua tu?
  3. K

    Dareva wa Naibu Jaji Mkuu apigwa risasi Kenya...

    Taarifa zinaeleza kuwa gari hiyo ilishambuliwa Leo na DREVA kujeruhiwa, Naibu jaji mkuu hakuwemo kwenye gari hiyo. Hii inakuja masaa machache kabla ya kuanza kusikilizwa kesi za kuzuia uchaguzi mkuu wa nchi hiyo tarehe 27/10/2017 kutokana na kile kinachoelezwa kuwa Tume ya uchaguzi...
  4. K

    Zito Kabwe: Uliposema tusubiri ACCACIA wauzwe kwanza nadhani hatukukuelewa.

    Nimefuatilia maelezo ya Zito akihojiwa na BBC pamoja na post zake za awali kuwa tukiingilia mchakato wa kuuzwa ACCACIA tutapoteza kiasi kikubwa cha fedha tunazopaswa kulipwa kwa mujibu wa sheria zetu, ni wakati sasa wa serikali kuingilia kati juu ya kampuni mpya inayoletwa Tanzania kuchukua...
  5. K

    Ni sahihi kuruhusu gari za Serikali kufanyiwa modifications au design kwa namna MTU anavyooana inafaa?

    Enzi za nyuma ulikuwa uwezi kufanya matengenezo ya chombo chochote cha serikali ukaruhusiwa, lakini pia mali za serikali hasa magari yanapoagizwa uja na guarantee ya muda wa matumizi na kwamba huruhusiwi kubadilisha au kuyafanyia mabadiliko makubwa bila mtengenezaji au msambazaji wa gari husika...
  6. K

    Vyombo vya habari vya Tanzania Vs Vyombo vya nje

    Ni kwann vyombo vyetu vya habari vinavyomilikiwa na serikali na vyenye umiliki binafsi vinashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo? Je, ni kwa sababu ya: 1.Wamiliki ndio wanaoelekeza nini kifanyike na nini kisifanyike? 2.Havina waandishi na wahariri wenye ueledi katika tasnia hii? 3.Taifa...
  7. K

    Ukimya wa vyama vya siasa baada ya taarifa ya mazungumzo kunatoa tafsiri gani?

    Si chama Tawala wala vyama vya mapinduzi wala vyama vya mageuzi wala vyama vya wafanyakazi wala Jumuhia yoyote iliyojitokeza kupongeza au kukosoa au kutoa maoni mbadala juu ya taarifa ya mazungumzo kati ya JMT na Barrick , Je hii inamaanisha kuwa taarifa imeeleweka vyema na hakuna la kuongeza...
  8. K

    Kwanini tulazimishe kupongezwa?

    Ni mafanikio gani tunayodhani tumepata kwenye sekta ya madini hadi tutake kusifiwa? Moja ya agenda kubwa ya Taifa na ambayo itaondoa maswali mitaani juu ya rasilimali zetu ni UWAZI KATIKA MIKATABA Nakumbuka hao tunaowahita wawekezaji, wakati wanakuja kuwekeza tulijifungia nao tukaanguka sahihi...
  9. K

    CHATO: Hongera Halmashauri ya Chato kwa kuingia TOP TEN matokeo ya STD 7, 2017 (Japo siyo kawaida)

    Kulingana na taarifa ya matokeo ya darasa LA saba halmashauri ya Chato imeingia top ten ya halmashauri zilizofanya vyema mtihani wa darasa LA saba Mwaka huu 2017, kumbukumbu hazionyeshi kwa miaka ya karibuni kama halmashauri hii ilikuwa na kiwango cha juu cha ufaulu hivyo nitoe pongezi kwa...
  10. K

    Tofauti kati ya maazio na maridhiano katika mijadala au kamati

    Katika kusikiliza taarifa ya serikali juu ya mazungumzo na Barick nimepata ugumu katika kujua kati ya hoja zote zilizotajwa yapi ni maazimio na yapi ni makubaliano au maridhiano ya pande mbili? Kauli kwamba Barick itapeleka taarifa ya majadiliano kwa wamiliki wa kampuni wafanye maamuzi inatoa...
  11. K

    MAJADILIANO YA MAKINIKIA: Barrick yakubali kulipa Dola Milioni 300 na kugawana faida 50/50 na Serikali ya Tanzania

    Nipende kufungua mjadala kwa wasomi wetu na watanzania kwa jumla katika hoja ya 50/50 iliyoelezwa katika taarifa juu ya mjadala kati ya Barick na Tanzania, niombe tufungue bongo zetu katika maswali haya: - Nini maana ya partnership? -Mwakilishi wa Barick anaeleza kuwa wamekubaliana na serikali...
  12. K

    MAJADILIANO YA MAKINIKIA: Barrick yakubali kulipa Dola Milioni 300 na kugawana faida 50/50 na Serikali ya Tanzania

    Wanabody, wakati wowote kutoka sasa Taifa litapata mrejesho juu ya taarifa ya mazungumzo kati ya magwiji wa sheria na mambo ya mikataba ya madini na timu ya wataalamu wa Barick, mazungumzo ambayo yamechukua muda Mrefu kutoka na unyeti wake, natumai taifa litabaki kuwa kitu kimoja baada ya...
  13. K

    Nimpongeze Dr. Slaa kwa uwezo wake wa kukijenga chama, kujenga hoja na pia maamuzi magumu aliyochukua

    Wakati Chadema wanawaondoa Zitto,Mkumbo na Mwigamba ndani ya Chama chao sikujua maono ya katibu mkuu Dr.Slaa yalilenga nini, lakini Leo nimetambua uwezo na nguvu ya Intelijensia iliyojengwa na kusimamiwa na mzee huyu ndani ya Chadema. Nimpongeze Dr. Slaa kwa uwezo wake wa kukijenga chama...
  14. K

    Natabiri 60% ya wabunge wa kuchaguliwa kurudi bungeni 2020 ni ndoto

    Makundi haya yanatishia bunge lijalo liwe na wabunge wapya wa kuchaguliwa kwa vyama vyote - Wapo wateule kwa nafasi ya uwaziri na ubunge ambao wameshaonyesha nia ya kugombea na wanaungwa mkono na chama hivyo wana uhakika wa kupeta kura za maoni. - Wapo wakuu wa wilaya na mikoa pamoja na wateule...
  15. K

    CAG mulika mambo haya katika ofisi za Serikali uje na suluhisho

    Kuna umuhimu wa CAG kufanya ukaguzi maalumu kuangalia ufanisi na uharibifu au uchakavu wa mifumo ifuatayo katika ofisi za serikali kuepusha hasara kubwa ya kununua mifumo mipya.. 1.Mifumo ya AC katika majengo ya serikali kwann haifanyi kazi au iliwekwa ya chini ya kiwango au hakuna matengenezo...
Back
Top Bottom