Zito Kabwe: Uliposema tusubiri ACCACIA wauzwe kwanza nadhani hatukukuelewa.

Oct 8, 2017
28
117
Nimefuatilia maelezo ya Zito akihojiwa na BBC pamoja na post zake za awali kuwa tukiingilia mchakato wa kuuzwa ACCACIA tutapoteza kiasi kikubwa cha fedha tunazopaswa kulipwa kwa mujibu wa sheria zetu, ni wakati sasa wa serikali kuingilia kati juu ya kampuni mpya inayoletwa Tanzania kuchukua nafasi ya ACCACIA ili tulipwe fedha zetu kwa mujibu wa sheria zetu.....hii issue ya watu kucheza na akili zetu iwe mwisho sasa.......huwezi kutuambia watu wale wale tu wabadilishe jina la kampuni alafu waje kuwekeza kwa mgongo wa 50/50 bila sisi kujua watapata faida lini? Tuchekue pesa za mgawo wa kuuzwa kampuni kwanza ndipo tuingie makubaliano mapya
 
Back
Top Bottom