CHATO: Hongera Halmashauri ya Chato kwa kuingia TOP TEN matokeo ya STD 7, 2017 (Japo siyo kawaida)

Oct 8, 2017
28
117
Kulingana na taarifa ya matokeo ya darasa LA saba halmashauri ya Chato imeingia top ten ya halmashauri zilizofanya vyema mtihani wa darasa LA saba Mwaka huu 2017, kumbukumbu hazionyeshi kwa miaka ya karibuni kama halmashauri hii ilikuwa na kiwango cha juu cha ufaulu hivyo nitoe pongezi kwa waliohusika kutengeneza mazingira bora ya Elimu na kufikiwa kwa mafanikio hayo.

Viongozi wengine wa kitaifa igeni mfano huu wa CHATO...........
 
ni katika kudhihirisha maelezo ya mkulo kuwa kanda ya ziwa kuna watu wenye akili! ha ha ha ha ha
 
watu bhana! mbona mwanafynzi wa pili kitaifa mvulana katoka chato pia, mtoto wa ocd. hata mtoto wa ngosha kaipaisha feza kwa kuchalaza mabanda yoteee
.
Matoto wa Magu anasoma Feza?
Haya bana. Mimi ni rais wa wanyonge...
 
Binafsi nawapa hongera Halmashauri ya Chato kwa kufanya vizuri, na kuupaisha mkoa Geita ambao siku za nyuma ulikuwa uki trend kwa sifa zisizo nzuri (mfano kuwa na viwango vikubwa vya umasikini na nk.)
 
😂😂😂

😂
 
Back
Top Bottom