Recent content by kitambiheshima

  1. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania The big 3: Lowassa, Chenge na Rostam kuhakikisha wanashika Ikulu?

    Rais yeye mwenyewe, PM Rostitam Aziz, Makamu Hussein Basha, spika Serukyamba, Jasusi namba 1 A. Mwang'o... My take; hilo litakuwa the most hopeless cabinet ever existed tangu Uhuru.
  2. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania CUF wafanya yao Zanzibar, Waiachia CDM jimbo moja

    Ukawa bongo, ngoma act bwana!
  3. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

    Watu wengi hawaujui huu ukweli kuwa ugomvi kati ya Mengi na Muhongo ndiyo umezalisha yote hayo. Bongo ni upuuzi mtupu! Siasa chafu tu ndo zimetawala. Majitu ni rahisi kununuliwa kwa vifedha na wafanyabiashara uchwara!
  4. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

    Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina...
  5. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania UKAWA yahujumiwa Songea!

    Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Songea unahujumiwa na Chadema, mmoja wa washirika wa UKAWA. Leo katika soko kuu Songea kumefanyika mkutano wa UKAWA lakini mwanzo mwisho mkutano huo umetawaliwa na kaulimbiu za peopleeeees, power!. Aidha mwanzo mwisho jamaa walikuwa wananadi chadema tu wakati...
  6. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Vyombo vya Dola kufuatia Kikwete kufanyiwa Upasuaji wa Tezi dume huko Marekani

    Our president is safe so also the Nation, don't b worried comrades! Tunajua tunachokifanya, tatzo wabongo wajuaji sn, kazi watu mnazijuuuuuuuuua!
  7. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Sitti Abbas Ajiuzulu U miss mwenyewe

    Hivi huyo mama hana aibu!. Sura ilivyomkomaa vile eti miss!.
  8. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa Urais 2015...

    E haya we!
  9. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

    UKAWA taraatiiiiiiiibu inayeyuka na sura za uvyama kwenye umoja huu taratiiiiibu zinajitokeza. Kwa wafuatiliaji wa vituko vya.hao.jamaa naamini mtakubaliana nami!
  10. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Mnafurahishana na kupeana matumaini, eti Warioba!!
  11. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Mara Chacha Heche, akamatwa kupigwa na Polisi Mjini Dodoma

    Sasa hivi chadomo ni kichapo tu mpaka mtie adabu!. Mmeachiwa sana!
  12. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

    We can't simply let the security of our Nation be jeopardized by the mere hooligans chadema members!. We swear to protect our people at whatever cost of property and blood, enough is enough!
  13. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

    Chadema ni wahu..ni na kiongozi wao ni mh.uni kama wah.uni wengine wa Manzese hapa Dar.
  14. kitambiheshima

    JamiiForums Tanzania Tutake tusitake, kwenye suala hili JK amewazidi kete wana-ukawa.

    J.K is the greatest politicians ever appeared in TZ, agree or not!. The man knows well how to maneuver!. UKAWA have wholy entered "The trap"! Safi J.K, komaa nao kwani ulishawajulia hao!
Back
Top Bottom