Mbona wa vyama vingine hawapo kwenye orodha yako? Mbona unalitumia vibaya jina la UKAWA?
Subiri dawa iwaingie,ukawa wawaeleze wanamwanza jinsi ccm ilivyofuta ibara ya 16 (a) inayozuia kufungua akaunti nje, ibara 17 inayomtaka kiongozi kutangaza mali zake,na ile ya 20(a)-c inayoruhusu kutwaa mali zilizopatikana kwa kukiuka sheria, maadili na miiko ya uongozi kama kupokea zawadi toka njw na ndani ya nchi kwenye makampuni au kuwa na kampuni mfano hisa ndani ya vodacom,ccm wameyafut!