CUF wafanya yao Zanzibar, Waiachia CDM jimbo moja

CUF wafanya yao Zanzibar, Waiachia CDM jimbo moja

Wakuu kwa mujibu wa Msemaji wa CUF huko Zanzibar CUF wamekubali CHADEMA kusimamisha Mgombea Jimbo la
KIKWAJUNI.


MATOKEO YA KIKWAJUNI 2010:
KIKWAJUNI CCM 4,534 90.5%
CUF 1,860 28.9%
AFP 6 0.1%
JAHAZI ASILIA 10 0.2%,
NCCR MAGEUZI 0 0.0%,
NRA 12 0.2%,
TADEA 0.1%.
 
Ndio hivyo kazi nzuri, meenye sifa ndio apewe nafasi si kugawana tuuu ili kuridhishana.

Chadema watafanya vikao vingi tuu kuisupot CUF
 
Hongera sana namkubali Salum Mwalimu lakini wasiwasi wangu ni kwamba CDM haina nguvu Z'bar kama vipi uchaguz ukikaribia wapime upepo pakiwa pagumu ahamie CUF alaf ndio ngoma ichezwe. Tunachoangalia ni UKAWA kushinda nukta.
 
Ok CHADEMA Mwachieni Mtatiro Kajimbo Ka Moshi Mana Mzee Ndesa Kazeeka Au Pale Arusha Mana Lema Msuba Umempeleka Sivyo
 
Khe Khe kheeeeeeeeee "UKAWA ni genge la Wasaka tonge"...Hongereni sana Wakuu kwa mshikamano mkubwa mnaoendelea kuuonyesha.
 
Wakuu kwa mujibu wa Msemaji wa CUF huko Zanzibar CUF wamekubali CHADEMA kusimamisha Mgombea Jimbo la
KIKWAJUNI.


MATOKEO YA KIKWAJUNI 2010:
KIKWAJUNI CCM 4,534 90.5%
CUF 1,860 28.9%
AFP 6 0.1%
JAHAZI ASILIA 10 0.2%,
NCCR MAGEUZI 0 0.0%,
NRA 12 0.2%,
TADEA 0.1%.

Ndio maana wamewapa CDM maana ndio wenye uzoefu wa kuvunja ngome za ccm. Believe me kwa ushirikiano wa CUF na CDM mwaka huu hilo jimbo ni la UKAWA.
 
Umekula maharage ya wapi wewe.

Tatizo Ni Ilo Sasa Nyie Si Mshapewa Ilo Sasa Nasi Si Mtupe Hata Basi Apo Ubungu Walau Maharage Ni Chakula Bora Mno Duniani Haijalish Yamelimiwa Wap?
 
Hongera sana namkubali Salum Mwalimu lakini wasiwasi wangu ni kwamba CDM haina nguvu Z'bar kama vipi uchaguz ukikaribia wapime upepo pakiwa pagumu ahamie CUF alaf ndio ngoma ichezwe. Tunachoangalia ni UKAWA kushinda nukta.

kwanza unatakiwa uelewe maana ya UKAWA kwanza harafu ndio ujue CDM nguvu ya kushinda unayotaka itatokea wapi.
 
Wakuu kwa mujibu wa Msemaji wa CUF huko Zanzibar CUF wamekubali CHADEMA kusimamisha Mgombea Jimbo la
KIKWAJUNI.


MATOKEO YA KIKWAJUNI 2010:
KIKWAJUNI CCM 4,534 90.5%
CUF 1,860 28.9%
AFP 6 0.1%
JAHAZI ASILIA 10 0.2%,
NCCR MAGEUZI 0 0.0%,
NRA 12 0.2%,
TADEA 0.1%.
Nafikiri asilimia si sahihi! Rekebisha.
 
CUF wametangaza majina ya Wanachama wataopigiwa kura za maoni kugombea Ubunge kwa majimbo yote ya Zanzibar wakiwaachia jimbo moja CDM huku wakiwa wamemteua Salum Mwalimu kugombea jimbo hilo. Source: Channel Ten Habari.
Kwa maana nyingine ilo jimbo CUF wamefanya patapotea. Haiwezekeni unaweka muakilishi sehem ambayo amna spriti ya chama husika halafu unategemea kushinda .
 
Hongera sana namkubali Salum Mwalimu lakini wasiwasi wangu ni kwamba CDM haina nguvu Z'bar kama vipi uchaguz ukikaribia wapime upepo pakiwa pagumu ahamie CUF alaf ndio ngoma ichezwe. Tunachoangalia ni UKAWA kushinda nukta.
Ni Ukawa. Cuf wamo. No problem!
 
Hongera sana namkubali Salum Mwalimu lakini wasiwasi wangu ni kwamba CDM haina nguvu Z'bar kama vipi uchaguz ukikaribia wapime upepo pakiwa pagumu ahamie CUF alaf ndio ngoma ichezwe. Tunachoangalia ni UKAWA kushinda nukta.

Ahamie CUF kivipi tena wakati atawakilisha UKAWA, yani CUF hawatasimamisha mgombea wa ubunge watamsupport yeye.
 
Nadhani Chadema kwa haki kabisa walipaswa kuachiwa majimbo angalau matatu pale Zanzibar, Jimbo la Michenzini kwa Mwalimu, Jimbo la Uzini ambalo kwenye uchaguzi mdogo wa marudio mwaka juzi Cdm walishika nafasi ya pili nyuma ya ccm. Na jimbo lingone lolote ambalo wangekubaliana na wenzao.

Anyway kama hivyo ndivyo walivyokubaliana basi sawa.

Ila asije mtu kuanza kulalamika kwa huku TANGANYIKA. Vigezo vulivyotumika Zenji then hivyohivyo vitumike huku asiwepo wa kupanua mbavu kama tulivyoanza kuwasikia watu fulani tangu juzi.. Kwa matokeo hayo ni wazi Cuf wamepewa nafasi ya kusimamisha mgombe Urais huko. Yule mpiga zeze aliyekuwa akipanua mbavu kwenye vyombo vya habari ni wazi analo la kutuambia hapa.!!!

99% Ubunge na Urais juu kwa upande wa Zenji.
50% Ubunge na Urais juu kwa Muungano.

Kila mmoja aufyate kama tulivyoufyata..!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom