Hawatakuelewa mkuu, kujenga nasupport sana, ila usijengee kichache ulicho nacho huo ni unaaa, unaishi kajumba kazuri yes, fensi safi yes, vigae yes ila mfukon empty, huna mradi wa kuingiza kipato unaa.
Jifunze kwa wahindi wamepanga National housing pale Kariakoo, Tazara tena zimechoka full...