Financial market expert tukutane hapa

Financial market expert tukutane hapa

Niwaulize wakuu ili upate hela kwenye hii biashara yeni ya forex ni lazima ufanye yafuatayo?:-

1. Uvae suti hasa za kubana mwili na moka ya kung'aa

2. Ni lazima uwe mtu wa quotes na kulazimisha watu wakuelewe

3. Ni lazima ukonfisi watu kuifanya biashara ufanyayo? Kwamba mna roho zuri sana kuliko wa madhabahuni

4. Ni lazim mpige picha kwenye hotel kali kali, na caption za kuonesha wengine duniani wamekuja kucheza [emoji3][emoji3]

5. Ni lazima muoneshe mikoko mikali, japo asilimia 90 yenu huwa plate number hazioneshwi.

6. Ni lazima upost kapicha kakuonesha unafunza kikundi cha watu fulani wakiwa na vinote book na kalamu?

Naombeni mnijibu kama hii ni moja ya kanuni zenu versus jamii inayowaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
long term secrets to short term trading by Larry william
803302.jpg
 

Attachments

Unaweza kunipa link ya group lake la telegram?

Hayo magroup mawili yana material ya kutosha.Huyo mentor ana channel youtube pia ambayo huwa anaweka material mazuri sana ya bure(free contents).

Jifunze kwa kufuata utaratibu ufuatao:

a)Anza kwa kusoma free material kutoka kwenye channel yake ya youtube

b)Mentorship

c)Charter

d)Weekly commentary videos

Changamoto kubwa ni kwamba material ni mengi sana,unaweza kukata tamaa.Bila miaka mitatu humalizi material yote.
 
Hapana bro, lengo sio showoff, lengo ni kuamsha vijana wanaoangaika na ajira, na kuwaeleza kuwa kuna njia nyingine ya kujikwamua kiuchumi..
Asante mkuu unanihamasishaje kama kijana kwa kupiga picha kwenye vyumba na bakoni za hoteli kali kali, mngehamasisha kwa kupiga picha miradi yenu au majengo yenu yaliyotokana na forex!

Naomba kuwasilisha Mh. Admin of zis thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakikisha kuwa material yote unayadownload kwa sababu huyo Mmarekani huwa anazisaka channel zinazovujisha material yake kisha anaziripoti na kufungiwa.
Asante ..ngoja tu kwanza nikomae na vitabu maana fx ukiicomplicate sana pia ni chazo cha kushidwa nawajua watu wame make maisha na wala hawakuwa na mambo mengi.
 
Mkuu hao wanaopiga picha kwenye mahotel makubwa af hawana kitu ni wahuni, wakimbie to be honest mim sijaona mtu aliyefanikiwa kupitia forex hapa tz,ndo kwanza vijana wanaanza kuamka na wengine hawaamn kabisaa,wengi ni wahuni wameshindwa game wanatafta wanafunzi, binafs sijafanikiwa lkn nimeweza kupandisha mtaji wangu kutoka USD 20had 240, ndani ya miezi 6, next week nta deposit dola 3000, apa ntaweza kutengeza USD 80 na kuendelea kila ntakapo pata opportunity ya kuingia sokon
Hawa ni watu wa africa nao amini wamefanikiwa kupitia hiyo biashara hawafanyi huo ujinga wao wanaonyesha Mali zao halali na majumba yao halali, na wanafunzi wanafuata wenyewe wakafundishwe
1,Ref Wayne
2, nelisiwe masango (demu)
3 George Van der Riet
4 Danielle lester (demu)
5, Sandile shezi
6, Jabulan Ngcobo
7, Kgopotso mmutlane (DJ coach)
8, Louis Tshakoane Junior
9, Shaum Benjamin nk
Hao watu sio drama ni halali
Achana na hawa sijui akina sir Jeff,sijui fransisco magnetics sijui undercover millionaire hao hamna kitu mkuu
Hahahaa ulipomtaja sir jeff sasa[emoji3][emoji3][emoji2] anyway namjua na yule wa mwanza aliyewah kupewa tuhuma za kuchukua hela za watu kama sikosei anaitwa Fireforex,
Lakin mkuu kwa nn umemtaja Sirjeff kama hana hela ilihal ndio mhamasishaji nambari moko katika hili,

Any views?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafabiashara wa masoko ya Hisa dunian(forex,crypto,bitcoins,binary options,gold,oil etc ebu tukutane hapa
Eleza changamoto unazokutana Nazo, umekata tamaa au bado, umesoma vitabu vingapi,kipi na kipi, safar unaionaje, utatoboa?
Pls kama umeshindwa biashara kaa kushoto usilete maneno ya kukatisha watu tamaa
Nas100 has been good. Been milking like crazy.

Screenshot_20211027-153115.png
 
Sis hatutaki, kuona candlestick za kushuka na kupanda, tunataka sababu kwa nn zinapanda au zinashuka, yaan umeona nn ukaingia sokon..
Movement ya hizi indicies mbaka nkuelekeze si nshakosa entry. Nascalp 1minutes candles. Rules zile zile channels, patterns, S & R, bla blaa blaaa hvo.......au unataka before & afta?
 
Quote of the Day

Most people do not fail at trading. Most people quit at trading.

That is the simple truth.

The statistics are representative of that.


People simply do not invest the proper amount of time to learn how to trade properly, with good risk-management, and they quit before they ever learn what is needed.
 
Quote of the Day

Most people do not fail at trading. Most people quit at trading.

That is the simple truth.

The statistics are representative of that.


People simply do not invest the proper amount of time to learn how to trade properly, with good risk-management, and they quit before they ever learn what is needed.
If someone asked you; if you were willing to invest 4 years of your life, learning how to trade, but at the end of it all, you would be able to pull money out of the markets like an ATM machine, and never have to worry about money again, would you do it?

Unfortunately, most people do not think this way. They want to be rewarded as quickly as possible, making the maximum amount of profits as possible.

Either way, there has never been a better time in history to be a trader.
 
Wale wale kasoro tarehe..kama unachosema ni ukweli kitabu cha DJ coach kinaitwaje?? Kama sio unaropoka tu, hakuna mwafrica hata mmoja aliwahi kuandika kitabu kuhusu financial market..Africa tajir wa kwanza kwa biashara ya forex ni ref wine (south Africa ) lkn hata blog tu yenyewe hana..
Kuhusu kuuza signal ni sawa..hii biashara ukishaijua unatengeneza pesa mingi sana si kwa trade tu, unaweza kufundisha(kuuza maarifa) hii unaweza kufanyia online au off line, unaweza uza signal, vyote hivi ni matunda ya kujitesa na vitabu bila kuchoka
Inasema hakuna mwafrika alieandika kitabu cha financial market wakati lethiba mothupi amefanyaje
 
Back
Top Bottom