Recent content by Kita mzalendo

  1. K

    Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

    Urussi haweza support coz strength ya uchumi wake itakua destorted... ingekua mimi Putin I would have fought too...
  2. K

    Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

    Go for it mh. L... nikifanikiwa kuwa nchini by the tym ntakupigia kura.
  3. K

    Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

    We r making things very hard for ourselves. Bila kuangalia kabila wala nywele. Mwenye uchungu na nchi hii na mzalendo wa kweli atakaetufikisha mbali ingawa kuna baadhi ya mapungufu as of NO 1 IS PERFECT. Mh. Lowassa u deserve to lead this country sina ushabiki bali ni fikra zangu ninazoziamini...
  4. K

    U.S. tells Rwanda to immediately end support for M23 rebels

    Koba tumekukosa kwenye hoja hii.... Njoo unogeshe au maji ya shingo?? Unawaogopa wa marekani??
  5. K

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    This people own most part of new york. Ofcz USA kiburi yao iko apo kwa washkaji. Wanatumika kuendelea kuwatajirisha. Alienacho huongezewa!!
  6. K

    MONUSCO yapewa onyo na Jeshi la Rwanda kuhusu uvamizi wao!

    Huyu hajielewi.... tanganyika au tanzania?? Wapo watu wachache kazi yao kubwa ni kuharibu.... embu tubadilike, chochezi hizi zitatufikisha wapi?? Masuala haya yanashughulikiwa na mamlaka husika na mada kama hii ambayo ni potosh hakuna sababu ya kuishabikia. Kueni wenye busara.... no 1 is above...
  7. K

    Kwa Mtanzania kuunga mkono kauli za Kagame dhidi ya rais Kikwete ni zaidi ya uhaini

    Huyu ni mmojawapo wa watu ninaowatilia mashaka ya kutokua wa tz.... kama kweli ni cdm mtu huyu basi cdm ikae na kuwaelimisha watu wake nini maana ya uzalendo na nn maana ya siasa. unahtaji msaada wa kiakili hujielew wewe kibaraka wa rwanda.
  8. K

    Kwa Mtanzania kuunga mkono kauli za Kagame dhidi ya rais Kikwete ni zaidi ya uhaini

    Sielew kwamba ndi cdm inavyowafundisha uzalendo wanachama wake au ni watu wanatumia mgongo wa chama hicho kuchafua akili za watanzania.... "its not logical n its impocbo to hv seen a tanzanian saying plz kagame hit tanzania" huu ni upuuzi na huyu si mtanzania ni pandikizi frm smwhr else. Mh...
  9. K

    Kwa Mtanzania kuunga mkono kauli za Kagame dhidi ya rais Kikwete ni zaidi ya uhaini

    Jogi sikutukani lakn nakuita mpuuzi.... huwezi kuleta chuki zako za kisiasa katika swala linalogusa nchi nzima bila kujali ccm wala cdm. Nadhan wewe si mtanzania unajarib kupandikiza upuuzi wako kwenye vichwa vya watanzania. Aliyekutuma mwambie watanzania wamegundua mbinu yetu na hvyo jaribu...
  10. K

    Sikumteua Lowassa kirafiki - Kikwete

    Mnapochangia mada humu jamvini ni vizuri mkatoa prior kwenye vivid evidence tafadhali... usafi au uchafu wa mwanasiasa yeyote mnauleta na vigezo na ushahid. Tusifuate ushabiki. Tulitumie jamvi kuelimishana kwa maendeleo ya taifa letu. Chuki binafsi na shabiki binafs hazitotusogeza mbele. Proof...
  11. K

    Sikumteua Lowassa kirafiki - Kikwete

    Arusha ni arusha tunazungumzia tanzania.... au somo hujalielewa bado??
  12. K

    Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

    Lowassa ni mzalendo na mwenye uchungu na nchi hii na kwa kupitia ushahidi huo ambao watu wanautaka wa yeye kuwa msafi au mchafu basi hapo ndipo kura ya ushind itakapopatikana....
  13. K

    Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

    Nashukuru mkuu
  14. K

    CCM bado tupo imara!

    Ndugu social networks hizi hizi zitatumika kusustain ushindi wa ccm... kwann zifungiwe?? Yangu macho itakapo kua T2015CCM adi ikulu itakubidi kuhama nchi.
  15. K

    CCM bado tupo imara!

    Ushaur binafsi..... viongozi wa ccm inawalazimu kujoin forces na kuform alliance ya pamoja kushirikiana kwa hali na mali for the sake of the chama. Uchaguz 2015 unaweza kuwa mgumu sana au mrahisi sana kinyume na matarajio ya wengi. Strategies ndi jibu la yote. Jipangen chama tawala hawa jamaa wa...
Back
Top Bottom