Recent content by Kisonono

  1. Kisonono

    Dhana ya kutochanganya siasa na kanisa na madai ya Askofu Emmaus Mwamakula juu ya mchakato wa Katiba Mpya

    Kuna miaka zaidi ya 70 kufikia 2099, fikiria kabla ya kuandika...
  2. Kisonono

    Lengai Ole Sabaya angemsoma John Muir: lau angejizuia kupita njia aliyoichagua kupita!

    John Muir Mwanahistoria Mashuhuri wa Uskochi na Marekani ambaye pia ni Mwandishi, Mwanafalsafa wa Mazingira na Mtaalam wa Mimea na Wanyama alipata kusema kwamba; “ Of all the paths you take in life, make sure a few of them are dirt” Katika kiswahili chetu Muir alimaanisha kuwa “ Hakikisha...
  3. Kisonono

    Today in History: April Fools’ tradition popularized

    April Fools’ tradition popularized On April 1, 1700, English pranksters begin popularizing the annual tradition of April Fools’ Day by playing practical jokes on each other. Although the day, also called All Fools’ Day, has been celebrated for several centuries by different cultures, its exact...
  4. Kisonono

    Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    Chakubanga ana "Black death" Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kisonono

    Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    Bashite anaombea mtoto wa Mwamba COVID-19 Impende zaidi ili yeye asimame kwa madia kutangaza. Msione ame _mute! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kisonono

    Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    Huyu ni mgonjwa wa kwanza kufa. Isabella alikuwa wa kwanza kutambulika kuwa ana huu ugonjwa na tuliambiwa kuwa alishapona Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kisonono

    Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

    [emoji23][emoji23][emoji23] napaka rangi upepo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kisonono

    Haya basi Magufuli hafai! Je, nani alistahili kuwa Rais?

    Yule Brigedia Jenerali mstaafu, Jaji Mkuu mstaafu, aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba, Padre katika kanisa la Aglicana, Mzee Augustino Ramadhani. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kisonono

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wanaomsifia Magufuli ni wanafiki sana, mtu anayejimwambafy na kujiona yeye ni Bora kuliko wengine, mtu asiyeheshimu mihimili mingine, mtu anayejiona yeye ndiye mzalendo zaidi ya wengine, mtesaji na muuaji, unaanzaje kumsifia mtu huyu. Najua #UVCCM na wazee wao hawawezi kumkemea Magufuli maana...
  10. Kisonono

    Mangula ataja vigezo 13 vya urais: Kama huna pisha wengine

    Ni kigezo namba tatu tu kilichozingatiwa 2015, vingine vyote wamezingua Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kisonono

    Uchaguzi 2020 : CCM kumpiga chini Magufuli

    Ukisema kuwa CCM haitompitisha Magufuli kugombea tena kiti cha urais 2020 ni sawa na kumaanisha kuwa Magufuli hatojipitisha kuwania urais 2020. #KOBARAone umeshindwa kuelewa kuwa sasa hakuna CCM kuna Magufuli kwanza! Magufuli amekwisha kiteka Nyara chama hicho nakukifanya Mali yake na...
  12. Kisonono

    Wachumi: nini? athari za B.O.T kutunza akiba ya nchi Kwa madini ya Tanzanite.

    “ Serikali inafikiria kuweka akiba yake Benki Kuu kwa kutumia madini ya Tanzanite.” Hayo ni maneno ya Waziri mwenye dhamana ya fedha Dkt Philipo Isdor Mpango aliyoyatoa Novemba 2016, ikiwa ni kujiaanda kutekeleza agizo la Mhe. Mtukufu Raisi Dkt. John Pombe Magufuli alilolitoa wakati alipofanya...
  13. Kisonono

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    1/2 ya marafiki zangu ni Maafisa na Askari wa JWTZ karibu wote wanakiri wazi kabisa kuwa hawajawahi kupata Mkuu wa majeshi boya Kama huyu Bw. Mabeyo.
  14. Kisonono

    Zitto: Nawasiliana na wapinzani wenzangu tuungane...

    Waamshe tu popo tuheshimiane...! Mimi nitaanza na chakubanga... Aniambie alimpa bei gani Mtulia? kabla sijamrudishia dozi yake ya TB ambayo hakuimaliza...
  15. Kisonono

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hahahaha! Nimepata likes!
Back
Top Bottom