Haya basi Magufuli hafai! Je, nani alistahili kuwa Rais?

nafikiri ungerejea mchakato Wa kumtafuta mgombea Wa urais kwa tiketi ya ccm.ungepata jibu.
 
Pamoja na mazuri mengi ambayo rais wetu anayafanya bado kuna watu wachache wanapinga,

Wapo wanaoenda mbali mpaka kusema kuwa Magufuli hakufaa kuwa rais,

Sasa kama Magufuli hakufaa kuwa rais nani tulitakiwa kumchagua awe rais wetu kwenye uchaguzi mkuu 2015?
STIVINI
 
Sasahivi nchi za east africa hazina cha ziada zaidi ya kusukuma uchumi wa nchi zake.kama mtakuwa makini mnaona sasahivi ushindani uliopo katika nchi hizi.tanzania kwa rais huyu hatutaki kuwa nyuma anapambana sana kwa maslahi ya nchi.lakini bado watu hawana imani nae.
 
Imefikia mahali sasa tutawaliwe tu na marais waislamu, ingelifaa sana yani wanaimani sana hawa ndugu zetu. Natoa mfano ktk maraisi waliotutawala kwanzia awamu ya Mzee mwinyi kila kitu ruksa tulikosa nini!! Kama ni pesa tulikosa pakuziweka, ilibidi tuwe tunazihifadhi soksini :D:D god bless him mzee wetu.ukija kwa Kikwete mambo yalikuwa shwari wananchi tulineemeka mno, immigrants walikuwa wanaishi kwa furaha bila kuwekewa vikwazo wala masharti yoyote magumu.god bless him Mzee wetu kikwete
Mmhhh
Tanzania bila unafiki haiwezekani kabisa.....
 
Maana'ke na wewe utakuwa barabarani hiyo 26/04/2018 si ndio, unataka kuchungulia kaburi??
Unaogopa kaburi kaka, si kila siku tunaambiwa ndo makao yetu ya milele????
Unafikiri utaishi miaka mingapi kwenye sayari hii????
Sooner or later tutajiunga tu waliotutangulia.
Bora kufa na kuacha mawazo yanayoishi, kuliko kuishi na mawazo yaliyokufa.
 
Hilo ni Swali Fikirishi kabisa.

Btw Magu ndio rais haswa tuliyekuwa tukimuhitaji ila kuna baadhi ya mambo yake hayako sawa,,Nadhani aangalie anapokosea arekebishe ili tusonge mbele
 
Tuache ujinga, Tanzania kama zilivyo nchi zingine za Africa inahitaji taasisi imara na sio mtu imara, wanaomlaumu ni kwa sababu anaelekea kutaka kutawala kama yeye binafsi bila kufuata katiba.
 
Hata akili zake zina utata sana, hatambui kuwa yeye ni mfanyakazi wa watanzania na anayunzwa kwa kodi zetu
 
Tutaongozwa na Mama Samia mpaka pale uchaguzi huru na wa haki utakapofanyika

Jibu swali... nani??

Kumbe mnapiga kelele huku hata hamna mpangi.. kichekesho jamani

Yaani mnachekesha.. wengi ni mnafata mikumbo tu.. na mnaoisoma namba.. na n.k.
 
Pamoja na mazuri mengi ambayo rais wetu anayafanya bado kuna watu wachache wanapinga,

Wapo wanaoenda mbali mpaka kusema kuwa Magufuli hakufaa kuwa rais,

Sasa kama Magufuli hakufaa kuwa rais nani tulitakiwa kumchagua awe rais wetu kwenye uchaguzi mkuu 2015?
Yule Brigedia Jenerali mstaafu, Jaji Mkuu mstaafu, aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba, Padre katika kanisa la Aglicana, Mzee Augustino Ramadhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja watu washike adabu watanzania tulikuwa tumefikia hatua mbaya sana.waliokuwa wamezoea vya kunyonga vya kuchinja hawataweza.Tutaelewana tu ba tutaongea lugha moja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Itatusaidia nn hiyo? Yaani na kuwa great thinker unaamini kwenye fikira za mtu mmoja,akiondoka au akafa inakuwaje? Sisi tunataka taasisi iliyoimara sio mtu huyo mmoja eti kawafunga mafisadi wakati wakina Makonda wapo nje.Wakina Yr ibaijuka ,Chenge wapo nje alafu anasema hajaja kufukua makaburi kweli kwa hiyo double standard tutafika?..Laziama tupate taasis isiyomuangalia Ndugai,Samia Suluhu wala Chenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ina hazina kubwa tu ya watu wanaofaa kuwa maraisi,tatizo wengi wanafikiri kupiga push up ndiyo kuongoza.
Ukiwa Kiongozi wa nchi omba upewe Hekima na Busara.
 
Back
Top Bottom