Lengai Ole Sabaya angemsoma John Muir: lau angejizuia kupita njia aliyoichagua kupita!

Kisonono

Member
Sep 23, 2016
29
21
John Muir Mwanahistoria Mashuhuri wa Uskochi na Marekani ambaye pia ni Mwandishi, Mwanafalsafa wa Mazingira na Mtaalam wa Mimea na Wanyama alipata kusema kwamba;

“ Of all the paths you take in life, make sure a few of them are dirt” Katika kiswahili chetu Muir alimaanisha kuwa “ Hakikisha katika njia zote unazopita katika maisha yako basi chache ziwe njia chafu zisizo halali...”

Bwana Lengai Ole Sabaya yeye aliamua kupita njia chafu kuanzia anaanza mpaka anamaliza. Sabaya aliamua kwenda against nature.

Tukimfuatilia Mtume Paulo katika kitabu cha 1 Timotheo 1:20 anasema... “Katika hao wamo Himenayo na Iskanda, ambao nimempa Shetani watu hao, ili wafundishwe wasimtukane Mungu.”

Kwa hakika tuliyaona ya Himenayo sasa tunayashuhudia ya Iskanda, Sabaya amekabidhiwa kwa shetani, ashughulikiwe...

Mtume Paulo anaendelea kusema katika kitabu cha 2 Timotheo 4:14 “Iskanda, mfua shaba, alionyesha ubaya mwingi kwangu; Bwana atamlipa sawasawa na matendo yake.”

Ndio kusema; Tunachoanza kukiona kwa Bwana Sabaya ni Malipo stahiki kwa yale Matendo yake...

Kwahiyo huyu Bwana Lengai Ole Sabaya wetu yameanza kumfika mambo yalliyo tarajiwa...
 
Cheo dhamana...
Unapokuwa kwenye nafasi usitumie vibaya cheo chako,jaribu ku play smart ...hata kama ni hela
Kuna njia za kupiga,tena kama pesa utaletewa tu za kutosha
Siku zote kuna maisha baada ya uongozi

Ova
 
Bahati mbaya..hana kazi nyingine anaweza zaidi ya kusubiria teuzi..hapo hata akiponyoka, ataenda kuroga wee ili aje apate teuzi tena. Hawezi biashara, hawezi kuajiriwa, hawezi kilimo. Anawaza kutawala watu tu
 
Najua wanaweza wakamuacha bila kumshtaki sababu bajua kila neno atamtaja JPM.......itakuwa kama Eng Kakoko....subiria tuone
 
Ivi kwann aliamua kuongea na clouds FM? Yan pale ndo alikichongea kabisa. Kamata na yule mtu mfupi SAM SASALI
 
Back
Top Bottom