Uchaguzi 2020 : CCM kumpiga chini Magufuli

Umekula maharage mawazo wewe si bure.

Upuuzi mtupu

Viroba vya jioni.

Thubutu! Hatokwenda ukawa kwa Mapumbavu, tutamshauri mapema kupitisha katiba yenye mgombea binafsi tutakapo anza kuona dalili hizo

Endeeleeni kubisha

Magufuli (muadilifu) hafanani na Lowasa (fisadi)....Ngeleja, Chenge au Tibaijuka (mafisadi) wanawafaaa ukawa.....wachukueni hao.....

Chama cha Mapinduzi ni cha Mafisadi hawapendezwi, kwa taarifa zenu hawapendezewi kabisa na mwendo huu kabisa hata Mkwere kanuna.
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.
teh teh wewe unachekesha sijui unalenga nini. nyie si tayari mnae jembe lenu edward ngoyai kowassa?
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.
Sijui umekula maharagwe ya wapi weweee!!!!
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.

Subiri akabidhiwe chama, ili aanze kutumbua majipu ya ndani ya ccm!
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.
Ukisema kuwa CCM haitompitisha Magufuli kugombea tena kiti cha urais 2020 ni sawa na kumaanisha kuwa Magufuli hatojipitisha kuwania urais 2020. #KOBARAone umeshindwa kuelewa kuwa sasa hakuna CCM kuna Magufuli kwanza!

Magufuli amekwisha kiteka Nyara chama hicho nakukifanya Mali yake na anakiendesha vile atakavyo, KIBARA umeshindwa kufikiri, umeshindwa kujua kuwa CCM ilikwisha sasa kuna mtu si chama. Magufuli atajipitisha na atagombea urais 2020 na atajipa ushindi yeye ndiye chama na yeye ndiye serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.
Hafai kuwa ukawa sense akachunge huko chato
 
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.

Wakimzingua Ukawa tunamchukua.
Ndoto ya mwendawazimu.
 
Nilijua upo jikoni Msoga unatuletea pishi la mpishi mbobezi membe tujue kama Chakula Ni kibichi au kimeiva kumbe uozo tuu
 
Back
Top Bottom