Dunia iko katika karne ya 21 ambapo maendeleo ya sayansi na Teknolojia kwa sasa yanapewa nafasi kubwa katika kuchagiza maendeleo ya Nchi mbalibali duniani. Tunatambua juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita Chini ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha huduma za...
Dunia iko katika karne ya 21 ambapo maendeleo ya sayansi na Teknolojia kwa sasa yanapewa nafasi kubwa katika kuchagiza maendeleo ya Nchi mbalibali duniani. Tunatambua juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita Chini ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha huduma za...
Kutokana na Kukua kwa Jiji la Dar. Ni muhimu kwa Serikali kufikiria namna ya kuwa na Stendi za kisasa za kwenda Mikoani katika Kila Manispaa ya Mkoa wa DSM.
Kama tulivyo na Ofisi za Ki-Mkoa za DAWASA, JESHI LA POLISI, TANESCO, TRA nk.
Ni wakati sasa kuwa na stendi ya Mikoani katika...
Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Mawasiliano latoa ushauri kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano ikiwemo kutumia fursa zilizopo kwa manufaa ya kujiletea maendeleo
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Imetoa taarifa kama inavyoonekana
Na chini ni TAKWIMU RASMI ZA HALI YA UCHUMI TANZANIA BARA 2012-2018
KWA UJUMLA:
Kwa mujibu wa takwimu mpya za mwaka wa kizio wa 2015, Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2018 ikilinganishwa na ukuaji wa...
Na Didas Tumaini
Majivu yanayotumika siku ya Jumatano ya majivu yanatokana na matawi ya mitende yaliyochomwa,matawi haya ni yale yaliyotumika katika jumapili ya matawi/mitende iliyopita.Matawi haya yalitumika kumlaki Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu kwa shangwe akijiandaa kufa kwa ajili yetu...
Kwanza kbs natoa pole sana kwa msiba ulioipata familia ya Prof. Mutahaba kwa kuondokewa na mtoto wao Ruge Mutahaba.
Pongezi nyingi kwa namna walivyoendesha msiba huu kwa ustaarabu wa hali ya juu na kudhihirisha umuhimu wa kusoma na kuelimika. Ingekuw msiba wa aina hii umetokea mahali palipokosa...
Sasa ndugu mambo kama haya binafsi ya mtu ni ya nn hapa jukwaani. Tuheshimu mambo private ya watu si lazima kila unachokiona na kukiskia uposti kwenye mitandao.
MKUU KWA HAO WA UPANDE WA KANISA KATOLIKI AMBAO HAWAKUUDHURIA NI KWA SABABU WALIOKUJA KUWAKILISHA TEC NI MAASKOFU WAKUU (ARCH-BISHOPS) WA METROPOLITAN ZA KANISA KATOLIKI KWA UTARATIBU WA KANISA. NIWEMUGIZI NA NGALALEKUMTWA SIO MAASKOFU WAKUU. IRINGA IKO CHINI YA METROPOLITAN MPYA YA MBEYA AMBAPO...
Mkuu anayekabidhi ni Consultant ambae alipewa kaz hyo kwa muda wote huo na bado ilikuwa chini ya uangalizi wake kuhakikisha unakaa sawa. Sasa muda umewadia wa consultant kuukabidhi kwa serikali ili TCRA waendelee nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.