Idadi na Mgawanyiko wa Miradi ya Uwekezaji iliyosajiliwa mwaka 2018 Kimkoa

kisinja

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
241
295
Kituo cha uwekezaji Tz kwa mwaka 2018 Kiliweza kusajili miradi ya uwekezaji kama inavyoonekana kwenye Kiambatisho hiki
 

Attachments

  • Screenshot_20190701-213413~2.png
    Screenshot_20190701-213413~2.png
    55.5 KB · Views: 12
Ukiangalia huo mgawanyo (kama upo sahihi) ndipo unaona siasa za Jiji la Dodoma kuwa ndio linaongoza hivi sasa kwa mapato! Yaani wakati Dar es salaam imesajiri miradi 109, Dodoma imesajiri miradi 5!!! Ajabu ya hii serikali usikute baadhi ya kampuni zimelazimishwa kodi zao walipie makao makuu ya nchi ili hatimae ionekane Dom ndie mkusanyaji mkubwa wa mapato wakati kiuhalisia mapato yahusika yanazaliwa kwenye mikoa mingine!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom