Sauti ya Moshi
New Member
- Feb 28, 2019
- 4
- 8
Kwanza napenda kumpa pole Ndugu yangu Exaud Mamuya (M/Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi).
Kwa taarifa za uhakika Mchumba wake huyo ambaye siku ya jana ilipaswa avishwe pete na ndugu Exaud Mamuya ilishindikana baada ya Mchumba huyo kutokomea kusikojulikana.
Inasemekana Mchumba huyo alipokea simu ya vitisho kutoka kwa mtu asiyejulikana kuwa endapo atakubali kuvishwa Pete na Exaud Mamuya basi atafanyiwa jambo baya hivyo kwa hofu hiyo aliamua kuchukua uamuzi wa kukimbia tukio hilo muhimu.
Kwa tukio hili napenda kumpa pole Ndugu, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Exaud Mamuya katika kipindi hiki kigumu cha mpito.
Sent using Jamii Forums mobile app