Recent content by kisimbomeck

  1. K

    Kuhusu walio chaguliwa nafas za kazi TRA hivi karibuni

    Wewe acha usenge Wewe.... Ukitukana mtu usifananishe na makabila ya watu Nyambafu ww.... Nani kakwambia wapare wana roho Mbaya.... Unakua kama mxiuuuuuuuuu.
  2. K

    Utumishi mbona kigugumizi kutoa majibu ya interview ya oral nafasi za TRA? Je haki itatendeka

    MUNGU abariki Tanzania... Naipenda Sana Tanzania nchi yangu.
  3. K

    Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    Hahaha!!! Hiii lugha ilikuja na meli kutoka kwa malikia
  4. K

    Naomba ushauri kuhusu haya matokeo ya TRA.

    Comment zingine bna zinanichekesha sana....
  5. K

    Tujikumbushe maswali ya interview TRA

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

    Hahahaha !!! Nimejikuta nacheka balaa hadi watu wanashangaaaa [emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji16][emoji297] [emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji297] [emoji297][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji297][emoji4][emoji297]...
  7. K

    Opportunity for fresh Graduates

    Hahahaa!!! Nimejikuta nacheka Sana kwa jibu lako mkuu.... Mimi ni mhanga wa kutafuta ajira lakin matangazo ya kihuni hivi Sinaga Mzuka nayo
  8. K

    Mchakato wa ajira TPA

    Uzi mzuri Sana mkuu, pongezi zako,. Mie Mwenywe nashangaaa Sana Nilifanyaga pepa za kushade xanaa na hua mchakato wake hauchukii mda coz wansahihisha kwa Mashine fasta lakin hao WCF Tokea mwezi March hadi leo... Nahix hawa wajamaaa washaanza vigusu za kuwekana kijinga....
  9. K

    Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea

    Aisee kaka uzi wako nimeupendaaa Sana ila aisee kilimo kinahitaji uangalizi wa hali ya juu xana, Mwaka Jana November niliamua kujibana ili nilime kitunguu, nililima ekari moja na nusu, maana ndo nilikua graduate, cha ajabu jamaa ambaye alikua anasimamia kile kimiradi kule kijijini kwa...
  10. K

    Majibu ya usaili WCF na LAPF

    Kazi kweli kweli
  11. K

    Vacancies at PPF Pensions Fund.

    Hahahaha Nilifanyaga interview yao post ya liason officer... Nilikutana na watu Kama utitiri Alafu hiyo pepa yenyewe ilibidi nigeukie wezangu niangalie kuwa wanaandika kuja kugundua Hakuna aliyekua anaandika kila mtu anamwangalia mwenzeie Alafu anacheka....
  12. K

    Wafanyakazi 134 wakutwa na vyeti feki hospitali ya Muhimbili, majina yao haya

    Nasema hivi naungana na mhe raisi acha waenda zao, msiteteeee vitu ambavyo havina msingi, hata Kama anategemewa na watu mia tano kama alifoji Cheti wacha aende, hivi Unategemea mtu hana taaluma yoyote Alafu anakuja anatoa matibabu kwa mgonjwa, hebu tuweni sirias acha waenda wakatafute maisha...
Back
Top Bottom