Opportunity for fresh Graduates

SUNGUYAY

Member
Jul 25, 2013
32
95
Hi,

We are looking to recruit new fresh graduates to be able to earn a living and make a difference into their life.
If you will you are a self-motivated person and willing to work hard to change your life.

Please contact me through;
+255717935186 au email address sunguyay@gmail.com
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,285
2,000

Matangazo ya aina ni kutembeza chupa za chai au "forever living".
 
Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,857
2,000
Hawa ni wahuni kama Forever Living, Elnet, DECI.... Mnakosea sana hichi kipindi cha Magufuli hamuwezi kuishi kwa ujanja ujanja
 
Vsanja

Member
May 23, 2017
43
95
Hi,

We are looking to recruit new fresh graduates to be able to earn a living and make a difference into their life.
If you will you are a self-motivated person and willing to work hard to change your life.

Please contact me through;
+255717935186 au email address sunguyay@gmail.com
mtu mwenyewe hajui kidhungu... hata hajui kuarrange announcement ....
 
natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,355
2,000

Kumbe ukisema opportunity ni kumaanisha umesema kazi gani inatangazwa?
Siuseme ni kutembeza vyombo mwisho wa siku ulipwe commission ya mauzo ulitofanya
Awamu hii hakuna kuishi kwa ujanja ujanja
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Hi,

We are looking to recruit new fresh graduates to be able to earn a living and make a difference into their life.
If you will you are a self-motivated person and willing to work hard to change your life.

Please contact me through;
+255717935186 au email address sunguyay@gmail.com

Hello Brother/ Sister, New Fresh Graduates you mean a College Graduants who have never been into employment? That means hii huyu fresh anaweza kuwa wa 2014,2015,2016

Tohoa please
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,486
2,000
Hi,

We are looking to recruit new fresh graduates to be able to earn a living and make a difference into their life.
If you will you are a self-motivated person and willing to work hard to change your life.

Please contact me through;
+255717935186 au email address sunguyay@gmail.com
Hata Kiswahili pia ni Lugha...
 
ElBaradei

Member
May 4, 2017
40
95
Hi,

We are looking to recruit new fresh graduates to be able to earn a living and make a difference into their life.
If you will you are a self-motivated person and willing to work hard to change your life.

Please contact me through;
+255717935186 au email address sunguyay@gmail.com
wacha utapeli..... awamu HII matapeli watatembelea ndala. Hakuna pesa za ujanja ujanja. weka wazi ni kazi gani na sio ujanja ujanja wa kizembe namna hiyo.. utakayempata muibe kisawa sawa maana atakua hana akili. Mpaka umpigie simu tapeli acha utapeliwe...Angalizo.... angalizo. HUYU NI TAPELI
 
Livejr

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
1,500
2,000
Hi,

We are looking to recruit new fresh graduates to be able to earn a living and make a difference into their life.
If you will you are a self-motivated person and willing to work hard to change your life.

Please contact me through;
+255717935186 au email address sunguyay@gmail.com
"If you will you are self motivated person"
Sijaelewa kipengele hicho mkuu naomba kiswahili chake
 
D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
2,883
2,000
kama sio kutembeza vyombo utasikia anza na 10,000tsh kisha utachangiwa na watu nane.
utafikiri ukoo wao wote matajiri na kiingereza chake kibovu.

CC,Matapeli wote D9,,Tatupesa,el et,Oriflame na wengine
 
ElBaradei

Member
May 4, 2017
40
95
kama sio kutembeza vyombo utasikia anza na 10,000tsh kisha utachangiwa na watu nane.
utafikiri ukoo wao wote matajiri na kiingereza chake kibovu.

CC,Matapeli wote D9,,Tatupesa,el et,Oriflame na wengine
HIVI MKUU D9 ni matapeli ? mbona kuna sister mmoja hapa anajitapa kuwa kila wiki anapata 250,000. Au ni mzushi ninii ? anadai anapiga pesa sana na hajawahi kutapeliwa... Kuna ambaye aliyewaho kupata pesa kutoka kwa hawa D9..
 
D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
2,883
2,000
HIVI MKUU D9 ni matapeli ? mbona kuna sister mmoja hapa anajitapa kuwa kila wiki anapata 250,000. Au ni mzushi ninii ? anadai anapiga pesa sana na hajawahi kutapeliwa... Kuna ambaye aliyewaho kupata pesa kutoka kwa hawa D9..
Matapeli wakubwa huyo dada anataka akuingize ili afaidike coz kuna hela itabidi umpe
HIVI MKUU D9 ni matapeli ? mbona kuna sister mmoja hapa anajitapa kuwa kila wiki anapata 250,000. Au ni mzushi ninii ? anadai anapiga pesa sana na hajawahi kutapeliwa... Kuna ambaye aliyewaho kupata pesa kutoka kwa hawa D9..

DAM
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom