Vacancies at PPF Pensions Fund.

Vacancies at PPF Pensions Fund.

Sina hamu na hao ppf inshort subirin kuitwa watu si chin ya 5000 ila mtafanya interview ya awamu...ilikuwa ni mwaka juzi waliita interview bas mm ya kwangu ilikuwa saa 2 asubuh pale chuo cha elimu ya watu wazima...walikuja watu kama 1000 nikajua ndo sisi bas ile tunatoka saa 4 kumbe kuna wengine walikuja na pia saa 6 kulikuwa na wengine...
Sasa hayo maswali yenyewe tulibak tunaangaliana maswal meng ni tofaut na kaz unayoomba nahs lengo ni kupunguza idadi but nahs kuna walengwa washaandaliwa tho am not sure...mtakaoitwa mtegemee hayo..goodluck
Hahahaha
Nilifanyaga interview yao post ya liason officer... Nilikutana na watu Kama utitiri Alafu hiyo pepa yenyewe ilibidi nigeukie wezangu niangalie kuwa wanaandika kuja kugundua Hakuna aliyekua anaandika kila mtu anamwangalia mwenzeie Alafu anacheka....
 
Ukiona hivyo docs zako siyo pdf.

Naassume portal yao iko sawa hivyo docs zako siyo pdf.

Zifungue kwenye word kisha bonyeza file, halafu save and send itakupa option ya kuzifanya docs zako kua xls au pdf, chagua pdf kisha publish.
Wps office inamove from nini huko to pdf, anyway tumetosha tusubr kuitwa km tutaitwa. Msisahau kutuupdate wakuu
 
Watu wako intern miakaaaa wanasubiri maybe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom