kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,471
- 12,567
utumishi hawana huo utaratibu.Mkuu waliofaulu nasikia wanapigiwa cm kimya kimya.
utumishi hawana huo utaratibu.Mkuu waliofaulu nasikia wanapigiwa cm kimya kimya.
Inafunguka,naona web haifunguki ikirudi inarudi na mzigo
Visitors 39 elfu,utumishi wachukue matangazo sasa..fursa ya wazi hiiInafunguka,
Ila Trafficking ni kubwa aisee,
Kwa leo wametembelea watu 32,000+ mpaka muda huu,
View attachment 610627
Public Organization hiyo unaifananisha na Mirald Ayo? Hakuna Nchi ambayo Public Organisation ambayo siyo Media (Gazeti, Television, Redio) Inakua ina matangazo.Visitors 39 elfu,utumishi wachukue matangazo sasa..fursa ya wazi hii
Bado tunafanya Upembuzi Yakinifu.Interview ya TRA ya written ilikua na zaidi ya watu elfu 29 na walipaswa kusahihisha kila majibu ya mt mmojammoja lakini iliwachukua tkribani wiki mbili tu kutoa majibu, interview ya oral haikua hat na watu 2000 na hawakua na kazi ya kuanza kusahihisha tena kama kwenye written lakini cha kushangaza inaenda kuisha wiki ya tatu kimya, hawaoni wanatengeneza chance ya watu kushawishi majibu ya hiyo interview?
Kwanini wanapatwa kigugumizi kutoa majibu? TRA ni organization ambayo inawavutia watu wengi sana kwa kuchelewesha majibu kunatia shaka kwa waliofanya interview na wapendwa wao kua na wasiwasi kama haki itatendeka.
Watu wa utumishi tuambieni nini kinaendeleaa??
kwa hiyo mtamaliza lini officer?Bado tunafanya Upembuzi Yakinifu.
In Reality hawafiki hata Robo ya hao,Visitors 39 elfu,utumishi wachukue matangazo sasa..fursa ya wazi hii
kesho tutatoa..ila mmefeli sana,ilibidi tustandardizekwa hiyo mtamaliza lini officer?
Wewe unaishi wapi? mbona wenzako wapo ofisi kabla ya interview, Lengo la interview ni kutimiza sheria na taratibu za kazi, Kazi nyingi wanaajiriwa wahusika baada ya miezi kazaa wanatangaza interview huyajui haya mkuu?Interview ya TRA ya written ilikua na zaidi ya watu elfu 29 na walipaswa kusahihisha kila majibu ya mt mmojammoja lakini iliwachukua tkribani wiki mbili tu kutoa majibu, interview ya oral haikua hat na watu 2000 na hawakua na kazi ya kuanza kusahihisha tena kama kwenye written lakini cha kushangaza inaenda kuisha wiki ya tatu kimya, hawaoni wanatengeneza chance ya watu kushawishi majibu ya hiyo interview?
Kwanini wanapatwa kigugumizi kutoa majibu? TRA ni organization ambayo inawavutia watu wengi sana kwa kuchelewesha majibu kunatia shaka kwa waliofanya interview na wapendwa wao kua na wasiwasi kama haki itatendeka.
Watu wa utumishi tuambieni nini kinaendeleaa??
matokeo yakitoka ni kufanya comparison Watu walioitwa oral na hayo majina.... Haiwezekani mpk Leo matokeo bado kuna namna au mvutano...Habari ndo hiyo Tena MTU aliyenitonya yupo kwenye ofisi hyohyo anadai kuna vimemo vinakuja kutoka kwa wakubwa ..watoto Wa wakulima itabidi wasubiri SNA mpaka wenyewe waishe asee
wakichakachua tutajua tu, na tukijua tu hataachwa mtu salama pale sekretariet maana tutacompare majina ya walioitwa kazini ka yanafana na yale walioitwa kwenye oral kipindi cha nyuma isitoshe kanzidata kwa sasa kwa baadhi ya kada haina majina yaliyotunzwa mfano kwa kada ya hr kwasababu mchakato wa kuajiri ulikua umesimama zaidi ya mwaka,,,Habari ndo hiyo Tena MTU aliyenitonya yupo kwenye ofisi hyohyo anadai kuna vimemo vinakuja kutoka kwa wakubwa ..watoto Wa wakulima itabidi wasubiri SNA mpaka wenyewe waishe asee
Yesuwakichakachua tutajua tu, na tukijua tu hataachwa mtu salama pale sekretariet maana tutacompare majina ya walioitwa kazini ka yanafana na yale walioitwa kwenye oral kipindi cha nyuma isitoshe kanzidata kwa sasa kwa baadhi ya kada haina majina yaliyotunzwa mfano kwa kada ya hr kwasababu mchakato wa kuajiri ulikua umesimama zaidi ya mwaka,,,