Asante sana mkuu kwa ufafanuzi huu maana watu wengne wanadhani mtu kujua kusoma na kuandika lazma apitie shule wanazozijua wao. Matakwa ya kisheria ni kujua kusoma na kuandika iwe ulijua kupitia ngumbalu au kayumba lkn mwisho ni kwamba unajua kusoma na kuandika.
Mimi sioni tatizo kabisa kwa chama kukopa. Kwani ulitaka chama kikope ili wanachama wagawane hzo pesa?
Kwavile ni mkopo uliokuwa na nia njema ya kufanya siasa kwa manufaa ya chama, kwangu mim sioni tatizo maana ni matumizi halali kabisa ya shughuli za kisiasa za chama. Tusiangalie ushindi tu lkn...
Ndg zangu habari hii inasikitisha sana na inanikumbusha maneno ya Dr. Slaa "Nchi Haitatawalika kama Dhuluma haitakabiliwa ipasavyo". Maneno haya ni juzi tu hapa Dr. kayatolea tena ufafanuzi. Tafsiri ya watu wengi kuhusu kutotawalika walidhani sasa Tz kutakuwa na vita pengine lakini si hvyo. Kama...
Ndg yangu Le Mutuz kumbe na ww huwa una point wakati mwingine?
Nikiri kwamba tangu nikufahamu humu jukwaani leo ndo nashuhudia ukitoa point ya maana kwa watz
Mim nilijua ushabiki wako umekufanya uwe mpofu milele.
Hongera kwa kuiona changamoto hii japo it is too late
Ndugu zangu hii nchi kwa kweli inatia huruma na kusikitisha sana kila Neema tulojaliwa na Mungu tunaigeuza laana sisi wenyewe. Sasa na visima vyote hivyo vya gesi kweli umeme ufikie bei hiyo?? Lkn pia hawa viongozi hata wanapotaka kubariki kupanda bei basi wawambie wananchi sababu za maana na...
Nakubaliana na ww kabisa kwamba kituo hicho kina watu hatari sana. Mim kuna jamaa yangu alienda hapo katoa pesa za mafuta badae mhudumu kazichanganya na pesa bandia afu akarudi akimshutumu jamaa yangu kampa pesa bandia.
Ulizuka ugomvi mkubwa kweli hadi wa kupelekana polisi na ikaonekana polisi...
Mkuu tafuta chuo kinaitwa university of Bagamoyo.
Hawa jamaa program yao ya LLB ni evening.
Classes huanza saa 11 jion had saa 2 usiku. Nawajua kias ni wazuri na wanatumia walimu ambao ni wazoefu na wengi wao wanatoka UDSM. Unaweza ukatembelea website yao kujionea taarifa zaidi.
Nimeupenda sana udadavuzi wako maana huu ndio ukweli wenyewe wa EAC hakuna la maana sana pale hata tukiachana nao. Ukiwaangalia vzuri hao jamaa wote almost wanafrustration ktk nchi zao so wanatafuta namna ya kujifariji na kutaka kutuingiza Kingi.
Mimi binafsi nimeichukulia kauli ya Lukuvi kama udhaifu wa hali ya juu wa Serikali kufumbia macho uhalifu.
Sioni sababu ya kutomtaja mhalifu eti kisa tu ni Mbunge. Kwan hawa Wabunge wako juu ya sheria?
Ina maana sheria zetu zinaangalia hadhi ya mtu wakati wa utekelezaji wake?
Kama ndivyo basi...
Nianze kwa kukupa pole sana kwa utata huu mkubwa ambao kwa kweli unakuweka ktk njiapanda ya kufanya maamuzi.
Ila ushauri wangu ni huu, kama ww ni mkristo na unaamini ktk nguvu ya Mungu kupitia maombi basi jawabu la matatizo yako ni MAOMBI tu ila yawe serious na yanoaambatana na imani kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.