Recent content by kisia

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Sikuwahi kupata ya mwanaume mwingine kwahiyo nilikua namjua yy tu baada ya kuonja nje ndio nimejua sio lolote alivyokua ananinyimaga hat mwez akirudi eti amechoka nakosa usingiz usk kucha na ililia
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Hicho kiapo niliapa mimi tu. Mkuu au sisi wote nimejaribu mno kuitetea ndoa yangu nimegomban na michepuko mnoo nimelia nimepata presh haijabadilisha chochote wala hajali nimekua mpole ukimhoji kwani wapi nilipokosea anakujibu majibu ya karahaa .!
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Mahari sio kitu cha muhimu ni kumdhamini mwenzio ukishamuona kazaa unaona hana pa kwenda
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Maudhi yakizidi mapenzi yanaisha hata hisia zinaisha ubabe wanaume kuhisi sisi wanawake akisha kuzalisha basi huna thamani kumbe huko nje watu wanakulilia
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Umeonae hahaaa!
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    ni uzinzi sababu kafanya mwanamke ila akifanya mwanaume ni kidume
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

    Inategeme anasababu za kufanya hayo yeye sio kichaa si ajabu unamichepuko kibao unahonga nje kama hela unaokota atoe hela yake ya nn hata kama ni mimi wanaume nyie ndio mnatufanya tuwe wakatili ukishajua mumeo mhongaji ww utatoa hela yako ili iweje
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Sasa hivi amani mnoo mapenzi motomoto hata asiporudi akirudi asubuhi nampokea na pole nyingi
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Nilikua sijawahi kuonja njee ndio maana nilikua namuonabonge la bwana cc hiv namcheka kizungu tu kama yy alivyokua ananichekaga na mauno yangu ya ki..
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    wanaume tatizo ubabe kwani neno samahani linakugarimu nn mtu umekosa alafu ww unakua mkali fyuuu!!
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu. Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tigo tafadhali tuheshimuni kama wateja

    Wanakera na minyimbo yao fyuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Walimu tumepigwa kwenye ziara hii ya Zuma

    Acha ubishi wa kijinga wewe huyo shangazi yako mwalimu wa huko Matombo atayajuaje ya mjini
  14. K

    JamiiForums Tanzania Walimu tumepigwa kwenye ziara hii ya Zuma

    Kweli njaa hata hiyo 20000 nyingi sana kwa mwalimu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Walimu tumepigwa kwenye ziara hii ya Zuma

    Acha ubishi wa kijinga hakuna? ulikuwepo watu wamepiga hela uliza uambiwe walimu wa Ilala
Back
Top Bottom